Hala El-said : Afrika imepoteza dola marekani ya trilioni 2,5 kwa sababu ya migogoro
- 2019-12-17 11:07:14
Dokta Hala El-said Waziri wa Upangaji alibainika kuwa asilimia 80 kuwa wafanyakazi wa Afrika katika sekta sio rasmi inayosumbuliwa kwa udhaifu wa Ukaguzi wa nchi ,na ifutayo ni sekta haihukumu na njia za kazi nzuri inayolenga kutosheleza nafasi za kazi nzuri kwa wananchi .
El-said aliongeza,kupitia hotuba yake katika kikao cha (maendeleo endelvu barani Afrika ) ,kuwa bara la kiafrika linasumbuliwa kwa udhaifu wa maelezo rasmi inayotegmea ,kwa sababu maelezo na takwaimu ni msingi wa ujenzi na maendeleo sahihi ,na bara linategmea tu juu ya asilimia 37 kutoka maelezo yake ,na maelezo nyingine zinatgmea juu yake kutoka vyanzo vya kimtaifa .
Alifuata kuwa migogoro inayosumbuliwa na Afrika inaathiri kwa umbo mkubwa juu ya maendeleo ,akisheria kuwa aghlabu ya makadirio yalisistiza kuwa hasara inayopoteliwa na ulimwengu juu ya miaka iliyopita ina thamani ya dola trilioni 14,1 alionyesha kuwa bahati ya bara la kiafrika kutoka hasara hii ni dola triolioni 2,5 kwa sababu ya migogoro hii ,pia aghlabu ya tassasi za kimtaifa zilisisitiza kuwa nchi zinazosumbuliwa na migogoro inapotea kila mwaka takribn 8_2 asilimia kutoka pato la kitaifa .
Comments