Mwakilishi wa Umoja wa Kiafrika : Dola marekani ya milioni 130 ziko tayari kwa uwekezaji katika bara la Afrika


Dokta Amany Abo Zed ambye ni mwakilishi wa miundo_mbinu kwa Umoja wa Kiafrika alisema ,kuwa bara la kiafrika linalojaa Rasilimali  asili ,sio tu zinatofauti bara la kiafrika ,kitu kinachotofauti bara la kiafrika kweli ,ni kulimaliki kituo kikubwa kwa nishati  ya jua ulimwenguni na iko mjini (Warzazat) nchini Morocco  ,na ikifutiwa na kituo cha Bnban mjini Aswan ya kimisri .


Abo zed alisema ,kupitia kauli yake kwa kikao (njia za maendeleo endelevu  barani Afrika ) ,miongoni mwa matukio ya mkutano  wa vijana wa ulimwengu katika toleo lake ,kuwa bara la Afrika  linatengeza Chokolet na treni nchini Misri na Afrika kusini ,pamoja na kituo cha nishati kinchozalisha kutoka kasi ya upepo nchni Kenya .


Amebainika kuwa bara la kiafrika linamilki vijana wa ulimwengu wote ,akifuata (tuna kipawa 450 hukadhirwa kwa kampuni  nyingi za ulimwengu  ,bara la kiafrika linalojaa sana ,na inamaliki uwezo na inasonga juhudi kubwa ).


Ilifuata kuwa mgogoro wa kifedha kwa bara la kiafrika ni nafasi inayokuwepo barani  Afrika  ,kuna dola marekani ya milioni 130 inayoandaa kwa uwekezaji wa bara la kiafrika ,na imeshamaliza kutoka mpango wa kiafrika ili kuboresha miundombinu kwa awamu yake ya kwanza kutoka wiki nyingi ,akibainka kuwa imeshazindua awamu ya pili mkoani Kairo  .


Aliendelea :tunatilia muhimu kupitia miradi ya awamu ya pili juu ya kutumia Teknolojia ya kisasa ,kuwa miradi inafikia kwa kijiji na mkao ,na kutumia mitandao ya mwasiliano kati ya bara la kiafrika na kuwa hodari ).


Abo zed alisistiza kuwa nishati kwa bara la kiafrika lina umuhimu maalumu ,ambapo inazingatiwa katika  maendeleo kama damu ndani ya mwili wa mwandamu ,haiwezekani  kupata  uboreshaji na maendelea nchini  na kutoa kwa nishati mbaya ,akisistiza haikubali kwa mwandamu kuna  watu milioni 600 barani hawapati nishati ,akiasheria kwamba  kuna waafrika  milioni 900 hawana nishati safi kwa kupika ndani  ya nyumba .

Comments