Mchezaji wa timu ya taifa ya Tenisi ya kwa wanaopambana Ulemavu kutoka Mkutano wa Vijana : msikate tamaa, na msiache majaribio


Mahmoud Youssef, mchezaji wa timu ya Misri kwa Tenisi  ya meza kwa  walemavu kwa , alisema kwamba alifaidika sana kupitia ushiriki wake katika Jukwaa la Vijana Ulimwenguni, na toleo lake la tatu katika Sharm El Sheikh, hasa  kwa kuzingatia uwepo wa uzoefu na tamaduni mbali mbali, akionesha kuwa alikuwa na ndoto ya kuingia kwenye orodha ya wachezaji bora 10 kwenye Tenisi  ya meza ulimwenguni. 


Yusuf alipeleka ujumbe kwa walemavu, akisema " msiache majaribio  jithibitishe nafsi yenu kwenye jamii, na  msisitishe kamwe " .  


Mchezaji wa timu ya Tenisi  ya meza ya Misri aliwasifu walemavu kwa kutoa mwelekeo wa kuwezesha watu wenye mahitaji maalumu  katika Mkutano wa Vijana wa Ulimwengu,  akitoa shukrani kwa usimamizi wa Mkutano wa Vijana kwa chaguo hili,  linaloonyesha msaada kwa watu wenye mahitaji maaluu. 


Comments