Danial Alfis na Goana Sanz wapo eneo la panorama kwenye piramidi

Eneo la mabaki ya Piramidi linawakaribisha mchezaji wa mpira wa miguu  wa Brazil Daniel Alfis  na mke wake mwenye mtindo wa kuonyesha mavazi mashuhuri Goana Sanz  na Ashraf Mohi Eldin Meneja  mkuu wa mabaki ya kumbukumbu ya piramidi  aliwakaribisha. 


Na Mohi El din  alisema kwamba ziara ilianza kwa matembezi ndani ya piramidi kubwa , kisha Makumbusho ya Mashua ya Khofu, eneo la sanamu la Abu Elhol na Alfis alishangaa sana kutoka Ustarabu  mkongwe wa kimisri na aliuliza jinsi piramidi ya khofu ilivyojengwa na uzani ya mawe yake kama alishangaa ukubwa wa sanamu la Abu Elhol 


Na Mohi El din  aliashiria kwamba kupitia matembezi , mchezaji  mashuhuri wa mpira na mke wake walijali kupiga picha za ukumbusho katika eneo la panorama ili kusajili ziara yao

Comments