Utengenezaji na uzuri wa handaki ya mfereji wa Suez huko Aleksandaria ukiandaa kwa «Kombe la Afrika 2019»

Utengenezaji na uzuri wa  handaki ya mfereji wa Suez huko Aleksandaria ukiandaa kwa «Kombe la Afrika 2019»

Mtaa wa Katikati ya Aleksandaria  ilimalizika utengenezaji  na maendeleo ya handaki ya mfereji wa Suez,kutokana  mfumo wa maendeleo wa maandalizi ya  kukaribisha  michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika Juni ijayo , jenerali "Samir Sidqi," rais wa mtaa alisema Kwamba wamekamilika kuziboresha barabara kama maandalizi ya kukaribisha michuano ile, na Na kuchangia kuhakikisha urahisi wa trafiki , akiashiria kwa  kukamilika  upandaji miti na upakaji wa rangi  kwa barabara kwenye mtaa kwa njia kuu zote na midani zote .

Comments