Dokta Salah Abas 'Mwakilishi wa Al-Azhar takatifu anakutana na washirki katika mkutano wa vijana wa kiafrika (Uraia ...Maendeleo ) katika mahali pa Al-Azhar Takatifu
- 2019-12-18 12:52:18
Wizara ya vijana na michezo inaendelea kutekleza shughuli za mkutano wa vijana wa kiafrika (Uraia ...Maendeleo ) kwa ushiriki wa vijana wa nchi20 za kiafrika kwa kituo cha kiolimpiki huko El Maadi mnamo 13 mpaka 19 katika mwezi wa Novemba, hii inakuja hii katika mraba wa urais wa Misri kwa Umoja wa Afrika na kutangaza Aswan mji wa vijana wa kiafrika mwaka wa 2019 .
Matukio ya leo yalijumuisha ziara ya kiutamaduni kwa mahali pa Al Azhar Takatifu ambapo Dokta Salah Abas mwakilishi wa Al-Azhar Takatifu alisistiza katika mkutano wake kwa vijana kuwa Al-Azhar mwaka huu inakamlisha mwaka elfu moja na thamanini kiasi kwamba inafanya kuenea mafundisho ya wastani katika nchi zote za dunia ambapo kuna wanafunzi elfu 35 wanasoma katika Al Azhar pamoja na vyuo vya mafunzo vinavyoenea kwa nchi 23 ulimwenguni miongoni mwao nchi 16 za kiafrika na hii inaonesha mahusiano yenye nguvu yanayohusiana Misri kwa nchi ya kiafrika pia imamu mkubwa wa Al Azhar Takatifu anazuia wanafunzi wa nje kutoka karo za kusoma pia alizidisha mara mbili idadi ya Udhamini mwaka huu kutoka 800 kwa 1600 .
Abas anaashiria kuwa taasisi ya Al-Azhar inatoa picha nzuri kwa Uislamu inatolewa kwa ulimwengu kupitia Masheikh wazuri wananakili dini ya kiisalamu kwa nchi sio kisalamu ili kuenea wastani kuwa Al Azhar Takatifu inapokea msaada kutoka nchi zote za ulimwengu na hii ni dalili kubwa zaidi kuwa nchi ya kiislamu inaanzisha kwenye Al Madina iliyojumuisha dini tofauti za mawingu na Masanamu , na Mtume Mwenyezi Mungu ambariki amepa Amini alianzisha nchi kwa makabila yote bila ya ubaguzi .
Pia Dokta Mahmoud El-Hwary alionesha kuwa Al-Azhar kama tasisi imebaki kubwa ingawa vitu vibaya ambavyo inavikabili katika kila wakati na mahali na alisistiza kuwa mfumo wa Al Azhar ulianzishwa kulingana na mfumo wa Huruma na kukabili tofauti na kuishi kwa imeelezwa kwa dhana ya Mambo Mengi pia kuwa mwanafunzi wa Al Azhar anakusanya kati ya Ukweli na inayohamishwa kwa maana ya makini kwa Matini na kuchemcha Akili mpaka inakabili usaliti na ukatili zinazosumbulia nchi nyingi kwa sababu ya Matengano.
Comments