Dany Alfes na mke wake Jonna Sanz anayeonyesha mwanamitindo wanatembelea eneo la kale ya Saqqara

Mchezaji  maarufu wa mpira wa kiberaziL,Dany Alfes na mke wake anayeonyesha  mwanamitindo Joona Sanz walitembelea eneo la kale ya Saqqara. Ambapo Sabry Frag ambaye ni,mkurugenzi mkuu wa eneo la kale la Saqqara na Mohamed Youssef ambaye ni, mkurugenzi wa makaburi ya Saqqara,waliwachukua kwenye mzunguko katika eneo. Na kupitia mzunguko huo walizuru Piramidi yenye utaratibu ,kaburi la Namti Mis,na kaburi la Wah Ti Alti ambayo ujumbe wa kimisri uliigundua kwenye mwaka wa 2018 mwezi wa Desemba.

Dany na mke wake walielezea furaha yao ya kuzuru eneo la Saqqara na Piramidi yenye utaratibu ambayo ni jengo la jiwe  la kwanza ulimwenguni. Na pia na walipenda walishangazwa na uzuri wa masanamu yanyopamba  kaburi  Wahti.

Halafu walielekea kwa eneo la Dahshour, na aliwapokea Bwana,Gad Al-Rab ambaye ni mkurugenzi mkuu wa makaburi ya Dahshour na Yassmin Alaa El-Den ambaye ni, mkurugenzi wa makaburi ya Dahshur. Ambapo walizuru ndani ya  Piramidi ya Kusini ya Mfalme Snafru, na walishangawa na ujenzi wa piramidi na muundo wake wa mambo ya ndani.

Na pia walizuru Piramidi ya Snafru ya Kaskazini kwa nje na walipiga picha za kumbukumbu kwenye eneo hilo,na walielezea kufurahishwa kwao kwa eneo la Dahshur na piramidi zake, zilizodhihirisha ustaarabu wa kale wa Misri.


Comments