"Umeme" inasisitiza kuwa itaendelea kwenye kutoa msada ya kiufundi kwa dola za kiafrika ili kutekeleza manufaa kwa pande zote

Mhandisi Gaber Desoki mwenyekiti wa kampuni ya umeme alisisitiza kwamba sekta ya umeme itaendelea katika kutoa duru za mafunzo, na msaada ya kifundi na  kupelekea waatalamu kwa dola  ndugu za kiafrika ili kutekeleza manufaa kwa pande zote,miongoni mwa ushirikiano katika nyanja za umeme ili kuhimiza Ahadi kwa malengo ya maendeleo.


Na hilo ilikuja katika hotuba yake ya wakati wa sherehe  iliyofanywa kwa  wizara ya umeme na Nishati ya maendeleo . Siku ya Alhamisi 19/12/2019 kwa wanafunzi 75 kutoka dola za mto wa Nili katika programu 5 ya mazoezi chini ya Anwani" kutayarisha mikataba kwa miradi ya miundombinu" na "kufanya matengenezo kwa mitendo ya kugawanya na mitendo  mikuu" na "kuunda mitandao inayoambatana kwa mifumo ya kiini ya  jua"na "kuendesha kituo cha nishati ya maji na vifaa vya kutawala kutoka aina ya hewa" na "Teknolojia ya nishati ya jua na kuongeza ufanisi wa nishati"


Na mhandisi Gaber kwamba programu za mazoezi zimekusanya kwa idadi kutoka wanafunzi kutoka dola za mto za Nili  kutoka Burundi,  Kongo ya demokrasia,  Tanzania,  Kenya,  Borkina Faso na Sudan Kusini.



Aliongeza kwamba programu hizo zitakuja miongoni mwa idadi za duru za mazoezi  zitakazofanya katika mfumo wa mradi wa ushirikiano na dola za kiafrika  inayofanywa kwa sekta na inatekelezwa na kujenga uwezo wa binadamu kwenye dola za  bonde la mto wa Nili katika nyanja za umeme nchini Misri  miongoni mwa programu za mazoezi au kwa kupelekea wataalamu wamisri kwa dola hizo katika nyanja tofauti za nishati.



Aliashiria kwamba wizara ya umeme na nishati ya maendeleo na programu hizo za mazoezi zilianza tangu mwaka 2007 na nchi za sudan na Ethiobia na wizara sasa inatoa zoezi kwa  dola za mto wa Nili na hilo ili kubadilisha  taarifa juu ya nyanja zote za umeme kutoka uzalishaji,  uhamishaji na utoaji pamoja na kwa nyanja za utawala .


Na alielezea  hamu yake kwamba wanafunzi wanahamisha taarifa na ujuzi waliopata kutoka programu ya mafunzo na wenzao ili kutekeleza manufaa na kuboresha hali ya sekta ya umeme nchini mwao.


Alieleza pia utashi wake wa kuunga mkono njia za ushirikiano kati ya nchi za dola za mto wa Nili ;ili kutekeleza malengo yanayotarajiwa ,na hio kupitia  kugombea mshiriki afaaye kuhudhuria programu ya mazoezi  inayofanywa kwa wizara ya umeme na nishati na maendeleo ya kimisri.


Kwa upande wao wanafunzi walisisitiza kwa umuhimu na heshima wao kwa duru na juhudi zilizofanywa na sekta ya umeme na nishati ya kimisri  katika kuandaa duru za mazoezi ili kutekeleza manufaa,wakiashiria kwamba watafaya kwa kusambaha ujuzi waliopata kutoka Misri kwa nchi zao.

Comments