Waziri wa vijana na michezo anakutana na kamati iandaayo michuano ya mpira wa mikono wa ulimwengu 2021

Dokta Ashraf Sobhy Waziri  wa vijana na michezo , siku ya Alhamisi , katika shirika la uwanja wa Kairo wa kitaifa amekutana na kamati iandaayo michuano ya mchezo wa mpira wa mikono wa ulimwengu 2021 na inayotarajiwa kukaribishwa nchini Misri . 


Mkutano huo ulihudhuriwa na Jenerali  Mohemed Nour Meneja  mtendaji wa wizara , na Dokta  Ahmed Elsheikh mkuu wa idara ya mambo ya ofisi ya waziri , na Jenerali  Ali Darwish Meneja  wa shirika la uwanja wa Kairo , Hoda Ayoub mkurugenzi wa idara ya uwekezaji , Jenerali  Fawzi Attia mshauri wa miradi kwa waziri , Mohamed Nasr mshauri wa fedha kwa waziri , Hassan labib Meneja  wa michuano na Hesham Nasr mkurugenzi wa kamati iandaayo michuano  na wanachama wa kamati . 


Mkutano hujadili mipya inayohusu kuanzisha kumbi zinazofunika za kuwapokea mechi za michuano , na kuonesha takwimu za wakati wa kumalizia shughuli za kumbi kubwa na ndogo .

Waziri wa vijana akisisitiza kuangalia kwa sura ya kudumu na kamati inayoongoza michuano ili kuonesha mipya yote yanayohusiana na kupanga michuano mikubwa zaidi ya shirikisho  la mpira wa mikono la kimataifa , vilevile kuwajibisha kamati zote ndogo majukumu yake husika na kufanya kazi zake kwa bidii .

Pamoja na kuonesha hatua zinazopangwa  na shirikisho la mpira wa mikono la kimataifa katika kutekeleza masharti yote ya kumbi .

Comments