"Afrika inatawala" Muhamed Salah anashirikisha "Kiatu cha kidhahabu" pamoja na Mani na Opamiang.

Nyota mmisri Muhamed Salah anashirikisha tuzo la "Kiatu cha kidhahabu" kwa mfungaji wa ligi ya kiingereza, kwa kiasi cha nusu pamoja na wawili waafrika: mwenzake wa timu "Sadiu Mani", na mshambulizi wa  timu ya Beber "Opamiang".

Watatu waafrika hawa walipata tuzo la "Kiatu cha kidhahabu" baada ya kila mmoja  kutoka wao alifunga magoli 22 katika michezo 38 kwenye ligi ya kiingereza.

Na kwa mara ya kwanza kwenye historia ya ligi ya kiingereza, waafrika watatu wanashirikiana kilele cha mapigano ya wafungaji kwenye msimu wa kwanza ambapo waafrika watatu wanapita magoli 20.

Kwenye historia ya timu ya Liverpool, Muhamed Salah ni mchezaji wa pili aliyeweza kushinda tuzo la "Kiatu cha kidhahabu", linalotolewa kwa mfungaji wa ligi ya kiingereza kwa misimu miwili mfululizo tangu uanzishi wa tuzo lile 1992-1993, pia ataweza kusawazisha pamoja na Mholanzi "Roben Fan Persi", na Mwiinereza "Hary Ken", wawili wale walipata lakabu ya mfungaji katika misimu miwili mfululizo.

Comments