Misri imeshinda medali 7 katika michuano ya Afrika kwa wachezaji wadogo wa chesi nchini Namibia
- 2019-12-22 13:13:33
Wachezaji (vijana na wasichana) wa Misri wameshinda medali 7 mbalimbali katika hitimisho la michuano ya Afrika kwa mechzo wa chesi kwa wachezaji wenye umri 8- 18 kwa wakike na wakiume iliyofanyiwa jioni ya leo nchini Namibia kwa ushirikiano wa wachezaji 270 kutoka nchi 17 za kiafrika .
Medali zilikuja kama ifuatavyo:
Medali 3 za dhahabu :-Medali ya dhahabu chini ya umri 8 " Dived Jorj " .
Medali ya dhahabu chini ya umri 10 " Kivin Gor " .
Medali ya dhahabu chini ya umri 14 Ahmed Tamer .
Na Misri imepata medali mbili za kifedha :-
Medali ya kifedha chini ya umri 8 kwa Adham Hossam
Medali ya kifedha chini ya umri 10 Jon Ramani
Vilevile, Misri imepata medali mbili za shaba :-
Medali ya kishaba chini ya umri 10 " Mina Wael "
Medali ya kishaba chini ya umri 18 " Muhamad Fouad " .
Vilevile, Afrika kusini imepata medali 3 za dhahabu ambapo Algeria impata medali 2 za kidhahabu na Angola ,Bustwana ,Namibia , na Zambia zimepata medali ya kidhahabu kwa kila moja .
Wachezaji 9 kutoka vijana na wasichana wa shirikiano wanawakilishia Misri pamoja na wachezaji 11 kutoka Chuo cha Adly Wadi Degla . Mwishoni , idadi ya wachezaji imefikia 20 .
mazoezi ya wachezaji wa shirikiano yanaongozwa na kocha Said Barakat , Walaa Tharwat ... Na mkuu wa ujumbe Dokta Mona Ellabudy.
Comments