Waziri wa vijana na michezo anaupongeza ujumbe wa Skwashi kwa ushindi wa mashindano ya dunia nchini Marekani

Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo alihangaika kuupiga simu  ujumbe wa timu ya kitaifa ya Skwashi baada ya ushindi wa Misri kwa mashindano ya dunia ya Skwashi  kwa timu za wanaume 2019 yanayofanyika nchini Marekani mnamo kipindi cha 15 hadi 22 katika mwezi wa Desemba  na kwa hivyo Misri  inahifadhi nafasi yake kwa mara ya pili mfululizo. 


Na katika upande huo huo Dokta  Mohamed Elkordi msaidizi wa waziri katika masuala ya kimichezo na  Bwana Abd Elawl Mohamed msaidizi wa waziri kwa niaba ya waziri wa michezo waliukaribisha ujumbe wa timu uwanjani unaokuja kutoka Washington na hii ni baada ya mafanikio makubwa ambayo ujumbe wa Misri  unayahakikisha katika mashindano na inamalizika kwa ushindi wa timu wa mashindano ya dunia baada ya kushinda timu ya Uingereza


Na hivyo ilikuja katika mfumo wa kujali kwa waziri wa vijana na michezo kwa mabingwa wamisri wote katika michezo tofauti na usaidizi wake katika njia yao ya kimichezo ili kuhakikisha mashindano zaidi yanayoongezwa kwa historia ya michezo ya kimisri. 

Comments