Dokta " Ashraf Sobhy " waziri wa vijana na michezo aliwapa tuzo za mashindano ya mbio ya zayd Elkhiry kwa washindi kwa nafasi za kwanza kwa mahudhurio ya Meja Jenerali " Abd Elmagid Sakr " mkuu wa mkoa wa Suiz ,Balozi " Juma Mubarak Elgbeny " Balozi wa Imaretis nchini Misri , Jenerali "Muhamad Helall Elkaby " mwenyekiti wa kamati kuu iandaayo mashindano ya Ziad , Aref El Owani "katibu mkuu wa baraza la Abu Dhabi la kimichezo na Talal Elshankety " katibu mkuu wa kamati ya Olimpiki ya kitaifa nchini Imarets.
na katika mashindano ya wenye vipaji na ulemavu kwa wasichana kwa Huda Ahmed Muhamad alishinda nafasi ya kwanza ,kwa nafasi ya pili " Hanan Ibrahim Ahmed " na kwa nafasi ya tatu " Ghada Muhamad Hassan " ambapo mashindano ya wenye ulemavu kwa Wanaume " alishinda kwa nafasi ya kwanza " Waled Gaber Elhadidy " , kwa nafasi ya pili " Muhamad Rashed Ahmed na kwa nafasi ya tatu " Hamed Mustafa Muhamad " .
Na kwa upande wa mashindano ya watu wazima kwa umbali 8km " wasichana " kwa nafasi ya kwanza alikuja " Amena Bkhet " , kwa nafasi ya pili " Rahma Husny Nady " na kwa nafasi ya tatu " Maryam Naser " .
Na katika mashindano ya wanaume , Hisham Balani alifikia nafasi ya kwanza , katika nafasi ya pili " Ahmed saber muhamed na nafasi ya tatu alikuja Abdelsamad Elyakuby .
Waziri wa vijana na michezo alitoa shukrani na heshima kwa kamati kuu inayoandalia mashindano ya mbio ya Zayd Elkhiry na wote wanaosimamia mashindano hayo baada ya mafanikio yake katika toleo lake la sita lililozindua leo Asubuhi Ijumaa mkoani Suez, akiashiria kuendelea ushirikiano wenye faida pamoja na ndugu kutoka upande wa Imaretis katika kufanya mashindano kila mwaka na yaweke miongoni mwa Ajenda ya matukio ya michezo yanayokaribishwa kwa Misri .
Vilevile , waziri alisifu maandalizi mazuri ya shughuli za mashindano katika awamu zake zote na kutolewa kwake kwa sura bora inayoendeleana na thamani ya mashindano na kinachopata kutoka ujali mpana wa Kiarabu unayafanya mojawapo wa matukio ya hisani ya michezo bora katika mashariki ya kati na kinachofafanua umuhimu wa michezo katika uundaji mikono ya shughuli imara za kibinadamu .
Tuzo za mashindano ya mbio zinafikia paundi milioni 2 , na pato lake mwaka huu linahusika kwa taasisi ya Saratani ya kitaifa inashikilia kwa chuo kikuu cha Kairo , na mashindano ya mbio yameshuhudia hadhira wengi kutoka Vijana na wasichana wanaokuja kutoka mikoa Mbalimbali ili kushirikisha katika shughuli za mashindano .
Comments