Wizara ya vijana na michezo inatia saini Itifaki ya ushirikiano kwa ajili ya kugundua Vipaji vya kimichezo katika mpira wa miguu.
- 2019-05-17 01:48:51
Wizara ya vijana na michezo imetia saini Itifaki ya ushirikiano pamoja na kampuni ya "Simu Sport" ili kugundua Vipaji vya kimichezo katika mpira wa miguu kwa kutekleza mradi wa "Top Talents" "Vipaji vya juu" ili kugundua Vipaji vya kimichezo katika mchezo wa mpira wa miguu toka umri wa miaka 10 hadi miaka 18.
Ambapo programu inagundua wenye Vipaji vya kimichezo katika mpira wa miguu kwenye mikoa tofauti katika vituo vya vijana na kurugenzi za mikoa, ambapo yatafanyika majaribio kwa wachezaji ili kuwachagua wazuri zaidi.
Watachaguliwa toka wachezaji bora na inayoamuliwa kuwagawa kwa makundi mawili, la kwanza litashirikisha katika michuano ya kirafiki kwenye Uholanzi, ama lingine litaishi pamoja na klabu za kiholanzi na kampuni italipa gharama Zote za kusafiri na kukaa.
Na hiyo inakuja kulingana na mpango wa Wizara wa kushirikiana na taasisi za jamii ya kiraia kwa ajili ya kufanya kazi pamoja kwa lengo la kuboresha michezo ya kimisri.
Itifaki hii ilitiwa saini na Dokta Ahmed Elshekh "Naibu wa wizara na mkuu wa uongozi mkuu wa masuala ya waziri",na Muhamed Hassan " Mwenyekiti wa Bodi ya uongozi wa kampuni ya Simu Sport", na mahudhurio ya Ahmed Gomaa "Msaidizi wa waziri", Samah Ammar"Mshauri wa kimatangazo wa mradi", na Omar Elaraby"Mkurugenzi mtendaji wa mradi".
Comments