Waziri wa michezo anawapokea wachezaji wa timu ya kitaifa kwa michezo ya kuinua mizigo
- 2019-12-31 13:10:20
Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo alipokea kundi na wachezaji wa timu ya kitaifa kwa michezo ya nguvu "kuinua mizigo" jioni siku ya jumatatu, na wao ni ;Shaimaa Khalaf,Abdelrahman Mohamed,Ahmed Saad,mostafa Wahid,Rajab Abdelhai.
Wakati wa mkutano,waziri wa michezo na vijana alisikia kwa baadhi ya matatizo yaliyokabili wachezaji wakati uliopita
Sobhy alisisitiza kwa wachezaji wa timu kwamba nchi inawakilisha katika wizara ya vijana na michezo haiachi kuunga mkono mchezaji yeyote ndani ya mfumo wa michezo na hiyo kupitia na kutoa misaada yoyote kutoka makambi ya mazoezi ya ndani na nje ,programu na duru za mazoezi kuandaa kwa kufanya kazi ndani ya mfumo wa michezo
Aliongeza kwamba dola haiachilie kuadhabu mtu yeyote alikosa.,akiashiria kwamba wakati ujao utakuwa ili kujenga taarifa mpya katika michezo ya kimisri ya kuinua mizigo kutegemea juu ya historia yake ndefu.alitoa ombi kuwa lazima kupata msaada kutoka wachezaji wenye ujuzi katika michezo ya kuinua mizigo katika mradi wa kitaifa kwa kipawa na bingwa wa Olimpiki.
Na kwa upande wao, wachezaji wa kuinua mizigo walisisitiza kuendelea kwao kwa programu zao za mazoezi na wao wanakiri kuendelea kwenye njia ya michezo ili kuendelea kwenye kupata michuano na kuinua bendera ya kimisri kwa majukwaa ya kimataifa.
mkutano huo ulihudhuriwa na Mohamed Al-kurdi msaidizi wa waziri wa michezo , na bwana Abdelawel Mohamed msaidi wa waziri
Comments