Osama Kamal"msemaji na mkurugenzi wa kikao kikuu kwenye kilele cha "Ugeuzi wa Afrika 2019 "nchini Ruwanda.
- 2019-05-17 01:50:07
Taasisi ya "Afrika Hodari", imemchagua mtangazaji Osama Kamal ili awe msemaji mkuu na mkurugenzi wa kikao kikuu kinachojumuisha viongozi wa nchi zishirikizo katika kilele cha tano cha "Ugeuzi wa Afrika" kinachoundwa mjini mkuu wa Ruwanda (Kigali) mnamo kipindi cha 14 kwa 17 Mei hii.
Na kilele cha "Ugeuzi wa Afrika" ni tukio lenye umuhimu zaidi, linaloundwa kwa mshikamano wa "Smart Africa" "Afrika Hodari"barani, nalo ni mkutano wa kila mwaka unachokusanya viongozi wa kimataifa na wa kikanda toka serikali, sekta ya shughuli na taasisi za kimataifa, na unatafutia vyombo vya ushirikiano khasa ili kupata njia mpya za kuharakisha usaidizi wa mapinduzi ya kihesabu barani Afrika.
Na kilele cha tano kinafanyika baada ya maelezo manne kwa uangalifu wa taasisi ya Jakaya ya kijapani na Benki ya kitaifa chini ya kauli" kuimarisha uchumi wa kihesabu wa Afrika ", na mahudhurio ya viongozi wasomi wa bara la kiafrika na mbele yao Paul Kagame "Rais wa Jamhuri ya Ruwanda".
Na inayotarajiwa kwamba kilele kinalenga zaidi ya washiriki 4000 miongoni mwao ni marais wa serikali, mawaziri, wahusika toka umoja wa mataifa, Benki ya kitaifa, viongozi wa mawasiliano, wawekezaji, wafanyabiashara, na wakilishi wa taasisi za kielimu.
Na kilele hicho kinashuhudia kufanyika kikao kwa mahudhurio ya marais wa madola na kinaongozwa na mtangazaji Osama Kamal, naye pia ni rais wa kampuni inayoandaa maonyesho ya kitaifa ya Kairo kwa mawasiliano, pamoja na vikao kadhaa vya kiujumla na vingine vitaalamu ambapo Osama Kamal amechaguliwa ili awe mkurugenzi wa mmoja yao.
Pia Osama Kamal ni msemaji mkuu kileleni pamoja na wasemaji kadhaa miongoni mwao ni (Amani Abo Zaid"Mhusika wa faili ya miundombinu na nishati kwenye umoja wa kiafrika ") , (Lasina Konee"Mkurugenzi mkuu wa mshikamano wa "Afrika Hodari") , (Waziri wa mawasiliano, teknolojia ya taarifa, na ubunifu nchini Ruwanda), (Katibu wa baraza la mawaziri), (Waziri wa vyombo vya habari na mawasiliano nchini Kenya) (Waziri wa vyombo vya habari nchini Ghana), (Hesham Ezz Elarab"mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa benki ya kiuchumi ya kitaifa"), (Bilionea mzimbabwe "Stref Masiu", (Mokhtar Diup"naibu wa rais wa benki ya kitaifa kwa miundombinu"), (Ojen Ojen Kaspereski "Rais mtendaji wa kampuni ya Kaspereski lap"), na (Takaw Toda "naibu wa rais wa taasisi ya Jakaya ya kijapani").
Comments