Waziri wa Michezo anampongeza bingwa Hana Goda baada ya kupandisha Uainishaji wa kimataifa kwa wasichana wa tenisi ya meza chini ya miaka 15
- 2020-01-05 11:30:03
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, amempongeza bingwa mmisri Hana Gudaa mchezaji wa timu ya taifa kwa wasichana wa Tenisi ya meza baada ya kupanda kwake kwenye kilele cha uainishaji wa kimataifa wa kila mwaka kwa mchezo kwa chini ya miaka 15.
Waziri wa Michezo alisifu kiwango cha juu kilichowasilishwa na bingwa wa Misri, ambaye ana miaka 12, na mafanikio yake katika kufikia uainashaji wa kimataifa kwa mara ya kwanza katika historia ya Tenisi ya meza ya Misri, akisistiza kumuunga mkono ili kuendelea kuhakikisha mafanikio zaidi.
Sobhy alisifu juhudi iliyofanywa kwa Shirikisho la kimisri kwa Tenisi ya meza ili Kutoka kwa kiwango hiki cha heshima.
Hana Gudaa alifanikiwa kupata nafasi ya kwanza kwenye Mashindano ya Ureno ya urafiki kwa wasichana mwezi uliopita, pia alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya binafsi na wawili chini ya miaka 18.
Bingwa mmisri pia alishinda nafasi tatu mnamo mwezi huu, mbele ya wachezaji wa Japan na Brazil katika uainishaji uliotolewa kwa Shirikisho la kimataifa kwa Tenisi ya meza pamoja na kuwa mnamo mwaka wa 2019 alifanikiwa kupata medali nyingi ili kuziongeza katika historia yake ya mafanikio makubwa ya kimichezo.
Comments