"Misri inafungua daraja lenye upanuzi zaidi duniani".

Misri imefungua daraja la "Tahya Masr" linalozingatiwa lenye upanuzi zaidi duniani, na urefu wake ni mita 67 juu ya mto wa Nile, na linaunganisha mashariki ya mji mkuu na magharibi yake,   Rais mmisri Abd Elsisi,  Dokta Mustafa Madbuli"Waziri mkuu mmisri" , na mhandisi Sherif Esmail ambaye ni "msaidizi wa Rais wa Jamhuri kwa miradi ya kitaifa na kimikakati", Kamel Elwazir "waziri wa usafiri" na idadi kadhaa ya mawaziri na wahusika wakubwa walihudhuria matukio ya ufunguzi wa daraja la "Tahya Masr"na mhimili wa (Rod Elfarag) linalozingatiwa ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya kitaifa katika uwanja wa njia na usafiri nchini Misri.

                                                        

Lakabu ya daraja lenye utaratibu inayotolewa kwa daraja la "Tahya Masr" linarejea kwa ardhi ya daraja juu ya Nile inabebwa kwa nyaya kubwa na Elezo la kimataifa la GENES kwa Fahirisi, limetangaza kwamba daraja la "Tahya Masr" kwenye mhimili wa "Rod Elfarag" linazingatiwa daraja lenye utaratibu zaidi duniani kwa upanuzi wa 67,36 na tangazo hilo limesisitizwa katika bango liliwekwa kwenye Guba la mbele la daraja,  na liliundwa kwa vichochoro sita ambapo urefu wake ni mita 540,na upanuzi wake ni mita 67,3 katika katikati, na linapita daraja la "Port Man" nchini Kanda lililokuwa daraja lenye utaratibu zaidi duniani tangu mwaka wa 2012.

 

Daraja hilo linaegemea juu ya nguzo sita, tatu katika upande wa mashariki na nyingine zipo katika upande wa magharibi, kwa urefu wa mita 100, na juu ya nguzo hizi zina waya ya chuma kwa urefu wa kiujumla kilo mita 1400, na linaegemea juu ya msingi unajumuisha misingi 80 kwa mita 2 na kina ya mita 46,na daraja linavumilia mizani inafikia kwa tani 120.

 

Na upanuzi wa ufunguzi wa urambazaji chini ya daraja ni mita 300 nao ni ufunguzi mkubwa juu ya mto wa Nile, daraja lilitengenezwa kwa mahali pa kutembea kwa watu kwa pande zote mbili kila mmoja kwa upanuzi wa mita 4,  mita 3 kwa mahali pa Saruji, na mita 1 kwa mahali pa Bilauri na kulingana na mahali pazuri pa daraja na njia za kulitengeneza linatarajiwa kuwa kivutio kimoja cha utalii.

Comments