Waziri wa vijana na michezo anashuhudia kikao cha nne cha mkutano wa mipango ya vijana kwa kichwa cha jukumu la nguvu laini (utamaduni ,sanaa na michezo )
- 2020-01-06 12:21:27
wa Mahudhurio ya Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo, Matukio ya kikao cha nne kwa mkutano wa mipango ya vijana iliyofanyawa chini ya kichwa cha jukumu la nguvu laini (utamaduni ,sanaa na michezo )katika kupampana ugaidi na uktalii ) yalimalizika ,inayofanyawa mnamo muda kutoka 4 mpaka 6 mwezi wa Januari mnamo mwaka wa 2020 kwenye makao makuu ya jumuiya ya kimtaifa ya kiarabu ,kwa kuhudhuria kundi la wafikiri na wataalamu katika uwanja wa Teknolojia ya Taarifa .
Mkutano ulizungukia umuhimu (Sanaa ,Utamaduni na Michezo ) katika kukabili ugaidi ,ilikuja hii kwa mujibu wa mtazmo wa Rais Mheshemiwa Abd El Fatah El sisi Rais wa jamhuri katika kufanya somo la mafunzo ya kimchezo ni somo la kimsingi katika elimu ,jambo linalokuja kulingana na shime ya nchi kwa kutumia nguvu tofauti za vijana na katika ujenzi wa jamii na kuziimrisha .
Wakati ambapo Wizara ya vijana na michezo inafanya kazi kwa mujibu kwa maelekezo ili kupanua msingi wa kucheza katika sehmu mbalimbali za jamhuri ,pia wizara inaharkisha kwa ushirkiano pamoja na jumuiya ya kimtaifa ya kiarabu ili kukarbisha kati ya vijana waarabu kupitia mipango na makambi mbalimbali zinazoekelezwa kwa Wizara ,kiasi kwamba wizara inafanya kazi ya kueneza utamaduni wa mashindano mema ya kimchezo .
Sanaa pia ina jukumu kubwa katika kuwasilisha picha sahihi na kuielewa jamii madhara yanayoiathirika ,akiongozea na kuboresha mawazo ya jamii na kueneza mawazo yanayopambana itikadi yenye uharibifu ,kuwa watu wote wa jamii lazima kushirki katika kumaliza mawazo haya na kufikisha picha sahihi kwa jamii .
Watu waliohudhuria walisikia kwa maoni ya vijana walioshirki na mawazo yao ,waliosistiza juu ya umuhimu wa kuwepo kwao katika mkutano huo na faida inayowarudisha kupitia kujiunga na kujua uzoefu na matatizo ya wengine na njia ya kuwatenda na mataizo haya tofauti.
Dokta Gamal Abd Elgwad mjumbe wa shirika la mashauri na mkurguzi wa mpango wa siasa kuu kwa kituo cha kimisri kwa mawazo na masomo ya kimikakti alizungukia mkutano ,kwa kuhudhuria Dokta Fathy Nada ambya ni mjumbe wa barza la bunge na mkuu wa shughuli za kimchezo ,bwana Ibrahim Hagazy ambye ni mwandishi mkuu wa wanahabari ,msanii Sameh Elsrety ,mwandishi wa Yousef Elkaed ,bwana wa Abd Elmoniem Elshary ambye ni mkurgunzi wa idara ya vijana na michezo kwa jumiya ya kimtaifa ya kiarabu .
Imetajwa kuwa mkutano inajumuisha vikao vinane vya kujadili kwa kuzungumzia mihimili mikuu kadhaa inawakilishwa katika (jukumu la taasisi za kidini katika kukabili ugaidi na uktalii ,familia ,elimu na vyombo vya habari _ kukua kama msingi katika kupampana ukatalii ,Teknolojia katika kuhudumia na kukabili uktalii na ugaidi , Ugaidi na vijana- vyombo vya kuboresha viwezo vya kiteknolojia katika kupambana Msimamo mkali na Ugaidi, mchango wa nguvu laini katika kupampana ugaidi na uktalii ,mchango wa tasissi za jamii ya kiraia katika kupampana ugaidi na uktalii ) ,pamoja na kuonesha mipango maarufu zaidi ya vijana inayoshirki katika matukio ya mkutano .
Pia kundi la vijana wanashirki katika mkutano kutoka nchi za (Yemen ,Ordon ,Libya ,Algeria ,Falstin ,Saudi Arbia ,Elbharin ,Kuwait ,Iraq ,Morocco ,Tunisia ,Sudan ,Comoors) pamoja na ushirki wa wajumbe wa vijana wa kimisri .
Comments