Ahmed Ashraf anashinda medali ya Kimisri ya kwanza katika michuano ya Afrika Mashariki kwa Karate

Leo Jumamosi, Ahmed Ashraf ambaye ni mchezaji wa timu ya kitaifa kwa Karate ameshinda medali ya shaba ya mashindano ya Kata kwa michuano ya Afrika Mashariki kwa vijana inayofanyika sasa nchini Tunisia.


Ashraf ameshinda medali ya shaba ya mashindano ya Kata kwa vijana ili ahakikishe medali ya kwanza kwa Misri katika michuano hiyo.


Pia Mohamed Yasser amepatia kadi ya kufikia mechi ya fainali ya michuano, na atacheza ili kupata medali ya kidhahabu au medali ya kifedha.


Mechi za fainali za michuano zitafanyika jioni ya leo nchini Tunisia.

Comments