Mkutano kati ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Kairo na mabingwa wa mpira wa miguu.
- 2020-01-07 14:11:32
Chuo kikuu cha Kairo leo asubuhi siku ya jumatatu kimekaribisha mkutano wa mahojiano kati ya wanafunzi wa chuo kikuu na mabingwa wa mpira wa miguu wanaoshiriki kwenye sherehe itakayofanyika kesho ili kutangaza tuzo za Umoja wa Afrika"bora zaidi"kwa mwaka 2019.
mkuhano huo uliyopangwa kwa kushirikiana kati ya wizara ya vijana na michezo ya kimisri na Umoja wa Afrika kwa mpira wa miguu,na shirika la kimataifa kwa mchezo "FIFA ", ulihudhuriwa na nyota wa timu ya Misri mchezaji Ahmed Hosaam Medo, na nyota wa Ufaransa "Yori Dagor Kayf", nyota wa Cote de'lvoire Klaymantani Yori, na mchezaji wa mpira wa miguu wa Ufaransa Lora Goerge,pamoja na mahudhurio ya Dokta Mohamed Al-khesht mkuu wa chuo kikuu cha Kairo , Dokta Ahmed Al-shekh mwenyekiti wa idara kuu kwa mambo ya waziri kama naibu kwa Dokta Ashraf Sobhi waziri wa vijana na michezo,na idadi kadhaa ya wahusika wa shirikisho la mataifa na Afrika kwa mpira wa miguu.
Mabingwa wa mpira wa miguu walisimulia kwa haraka taarifa ndogo kwa njia yao ya michezo,na mafanyikio yao ya muhimu kwa klabu zao na timu pia michuano na lakabu walizozipata katika njia yao ya mpira wa miguu ,wakisisitiza kwa umuhimu wa kupata kwa subirs na uchochezi na kutia juhudi ili kutekeleza malengo yao na matarajio hadi mafanikio kuwa yanaambatana nao katika njia yao ya kitaaluma na kiufundi.
Pia walielezea furaha yao kwa ziara hii kwa Misri na kwa wema wa kupokea walioona katika ziara hii,waliisifu programu ya kiutalii na kiburudani iliyowekwa kwa wizara ya vijana na michezo ya kimisri na mashirika mawili ya kimataifa na kiafrika kwa mpira wa miguu pembezoni mwa sherehe ya tuzo za "bora zaidi"iliyopangwa kufanyika kesho mjini Houghardaka ili kutangaza wachezaji bora zaidi kwa kiwango cha bara la Afrika mnamo mwaka 2019.
Na kwa upande wake , Dokta Ahmed Al-shekh mkuu wa idara kuu ya mambo ya waziri alitoa salamu na heshima ya Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo kwa mabingwa wote na wageni wa Misri waliojibu mwito wa shirika la kimataifa na Umoja wa Afrika kwa mpira wa miguu kwa kuhudhuria na kushiriki katika shughuli za sherehe ya "bora zaidi ",walitamani kwao makazi mema nchini Misri .
Shekhe aliashiria hamu ya wizara ya vijana na michezo kwa utaratibu na maafisa wa mashirika ya kimataifa na Afrika kwa mpira wa miguu,ili kutimiza ziara ya mabingwa wa mpira wa miguu nchini Misri na sherehe ya "bora zaidi "katika sura nzuri na itaonyesha ushindi wa Misri katika suala la kupanga na kukaribisha matukio makubwa ya kimichezo.
Ikasemwa kwamba itafanyika michezo ya kirafiki chini ya piramidi kwa kushiriki mabingwa wa mpira wa miguu wa Afrika na ulimwengu baada ya hitimisho la mkutano ya mahojiano kwenye chuo kikuu cha Kairo ,na ikifuata kuelekea mji wa Hourgada ili kushiriki katika maadhimisho ya Umoja wa Afrika kwa mpira wa miguu"CAF "ili kugawanya tuzo za bora zaidi kwa mwaka 2019 itayofanyika kesho jumanne, na orodha ya mwisho kwa wachezaji waliogombea kupata tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka 2019 ilijumuisha nyota ya timu ya Misri na timu ya livarpol Mohamed Salah, nyota ya timu ya Sengal na mchezaji wa liverpoal ya Uingereza mchezaji "sadio Manih", nyota ya timu ya Algeria na mchezaji wa timu ya Manshester City mchezaji"Riadh Mehrez"pamoja na kuwepo mchezaji wa timu ya Misri na klabu ya zamalek mchezaji"Tarek Hamed" miongoni mwa wagombea ili kupata cheo ya mchezaji bora ndani ya Afrika.
Comments