Waziri wa vijana na michezo apokea Rais wa Shirikisho la Kimataifa kwa Mpira wa Miguu uwanjani mwa Kairo wa kimataifa.
- 2020-01-07 14:14:40
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amepokea Bwana Giani Infantino mkuu wa Shirikisho la kimataifa kwa Mpira wa Miguu (FIFA) kwenye uwanja wa Kairo wa kimataifa. Na hiyo kwa kuhudhuria Ahmed Ahmed mkuu wa shirikisho la kiafrika kwa Soka na Mhandisi Hany Abu Rida mwanachama wa ofisi ya kiutendaji ya mashirikisho mawili ya kimatifa na kiafrika kwa Soka .
Na hiyo inakuja katika mraba wa maandalizi ya Misri kwa kuandaa sherehe ya shirikisho la kiafrika kwa mpira wa miguu ili kutangaza tuzo za (bora zaidi) mnamo mwaka wa 2019,kesho jumanne,junuari 7,mjini Hurghada. Kama shirikisho la kiafrika (CAF) limekuwa likitangaza orodha ya mwisho ya wachezaji walioteuliwa kwa tuzo ya mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa msimu wa 2019. Iliyojumuisha Mohamed Salah,bingwa wa timu ya kitaifa ya Misri na Liverpool,Riad Mehrez,mchezaji wa timu ya kitaifa ya Algeria na kalbu ya Manchester City,pia Sadio Mane,mchezaji wa timu ya kitaiga ya Senegal na Liverpool,na Tarek Hamed aliye ni mchezaji wa kiuno wa Zamalek aliyekuwepo katika orodha hiyo.
Na pia mchezo ya maonyesho ulifanyika Alasiri hii,jumatatu kwa mabingwa wa mpira wa miguu ulimwenguni uwanjani mwa Piramidi, kwa kuhudhuria idadi ya maafisi na viongozi wa mashirikisho ya mpira wa mguu katika nchi za kiafrika na Dokta Ashraf Sobhy ,waziri wa vijana na michezo.
Na timu ya kwanza inajumuisha idadi ya mabingwa wa Soka ya kiafrika na kiarabu kama, Hassan Shehata,Drogba,Samy Gaber, Mostafa Hagy,Ahmed Hassan,AL-Haj Diof,Flavio,Abedi Pele,Wael Jumaa,Kanu,Khalilou Fadiga,na Rabeh Mager.
Na kwenye timu ya pili kikundi cha mabingwa kama, Julio Ceser,Cafu,Veron,Gomes,Ahmed Hossam Mido,Okocha, Jermy Natip, Lakhdar Belloumi,na pia Gianni Infantino,ambaye ni,mkuu wa shirikisho la kimatiafa la mpira wa mguu.
Comments