"Mnamo ziara ya ghafla kwa kituo cha vijana wa ElAsher.... Waziri wa vijana na michezo anakusifu kuwepo kwa mkurugenzi wa kituo na wafanyakazi."
- 2019-05-18 01:37:17
Dokta Ashraf
Sobhy "Waziri wa vijana na michezo" aliwasifu mkurugenzi wa kituo cha
vijana wa "ElAsher mn Ramadan" na wafanyakazi wake kwa kudhibiti kwao
kwa mpango wa kazi ndani ya kituo na kuwepo kwao daima, na kutoa huduma zote
kwa wanachama na wanaokuja daima kituoni ili kufanya harakati tofauti zote.
Aliita kwa
kuharakisha kuunda tume ya kiidara kutoka mkurugenzi wa kituo, msimamizi wa
kifedha, na msimamizi wa kimichezo, ili kuongoza kituo hadi jumuia karibu zaidi
kituoni ili kuchagua bodi ya wakurugenzi, aliita pia kwa kuunda tume kutoka
Wizara ya vijana na michezo ili kusimamiza kituo kwa kuanza shughuli za
kukiboresha na kukitoa nafasi zote za uwekezaji "kwa haki ya
kunufaisha" ili kukiboresha haraka haraka na kutumia uwezo wake wote Kama
matumizi bora, ambacho ukubwa wake ni ekari 14 mpaka kutosheleza vyanzo vya
kuvutia kwa wanachama kituoni.
Na katika suala lile lile, waziri wa vijana na
michezo alieleza masikitiko yake kutoka Uzembe na hali ya Uchafu ndani ya
kituo, ambapo aliamuru kumpeleka mkurugenzi wa kituo kwa uchunguzi kwa sababu
ya Uzembe wa pembe zote za kituo, akiashiria kwamba Jumapili ijayo itaainishwa
miadi ya makabiliano na tume ya Uongozi wa kituo kwenye Diwani kuu ya Wizara
ili kuanzisha maendeleo ya kituo na kutatua pembe zote za Kasoro na Uzembe.
Na hayo yanakuja
kulingana na Ufuatiliaji endelevu wa kuongoza shughuli katika majengo yote ya
kivijana na kimichezo, na kwa kutekleza amri za Uongozi wa kisiasa za kuboresha
vituo vya vijana na kutoa huduma nzuri kwa wananchi wote, wanachama, na
wanaokuja vituo vya vijana.
Comments