Waziri wa michezo yuko uwanjani mwa mechi ya mabingwa wa dunia katika eneo la piramidi
- 2020-01-08 11:53:44
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alitilia mkazo kuhudhuria mechi ya mabingwa wa dunia wa Soka iliyofanyika eneo la piramidi pembezoni mwa shughuli za sherehe ya Shirikisho la soka la Kiafrika " bora zaidi " katika mwaka 2019 inayokubaliwa kufanyika mjini "Hurgada".
Waziri wa vijana na michezo alitoa salamu kwa mabingwa wa soka duniani wakati mechi mbili wa mchezo inayojumuisha zaidi ya nyota 30 wa dunia .
Waziri wa vijana na michezo aliwakaribisha wageni wote wa sherehe ya " bora zaidi " na mabingwa wa Soka kutoka nchi mbalimbali waliishiriki katika sherehe , akitoa shukurani na heshima kwa Shirikisho la Kiafrika la Soka kwa kuanzisha sherehe ya " bora zaidi " mnamo mwaka 2019 nchini Misri , na kwa mkuu wa shirikisho la kimataifa " FIFA " kwa ajili kutilia mkazo kwake kwa kuhudhuria sherehe , na shughuli zinazoambatana nayo.
Timu ya kwanza inajumuisha idadi ya mabingwa wa Soka ya Kiafrika na kiarabu nao ni kama " Hassan Shahata , Drogaba, Sami Elgaber ,Mustafa Hagy, Ahmed Hasan, Elhag Dyof ,Fafilo , Abidy Belea , Wael Gomaa , Kanu ,khalelo Fadeka ,Rabah mager " , nao Ahmed Ahmed mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kwa Soka " CAF " .
Na timu ya pili inajumuisha makundi kutoka mabingwa miongoni mwao ni " Golio Sezeer , Kafu, Feroun ,Gomez , Okosha, Germy Nateb , Elakhder Blomy pamoja yao Jayan Anfantenu mwenyekiti wa shirikisho la kimataifa kwa Soka .
Na mechi ilikuja pembezoni mwa ukaribishaji wa Misri kwa sherehe ya Shirikisho la kiafrika la Soka ili kugawanyia tuzo za mchezaji bora zaidi mnamo 2019 , iliyofanyika siku ya Jumanne 7 Januari ,mjini Hurgada .
Shirikisho la Kisfrika la Soka " CAF " ilikuwa kutangaza orodha ya mwisho kwa wachezaji wanaochaguliwa ili kupata tuzo la mchezaji bora zaidi barani Afrika Katika mwaka 2019 , ambapo inajumuisha Muhamad Salah nyota wa timu ya taifa ya Misri na klabu ya liverpool ya Kingereza , Riad muharz nyota wa timu ya taifa ya Algeria na klabu ya Manshster city ya Kingereza , na Sadio Maneh mchezaji wa timu ya taifa ya sengal na Liverpool ya kingereza na kuwepo Tarek Hamed mchezaji wa katikati kwa Zamalek miongoni mwa orodha inayopendekezwa kupata jina la mchezaji bora ndani ya Afrika .
Comments