Sadio Mani mchezaji bora zaidi barani Afrika 2019

Sadio Mani kutoka Sengal  mchezaji wa timu ya Liverpool ya kiingereza alishinda tuzo ya mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 2019 . 


 Jioni ya siku, Jumanne Shirikisho la Kisfrika la Soka CAF  ilitangaza  , kushinda Mani kupitia sherehe iliyofanyika mkoani Hurgada , kwa matangazo ya tuzo za wachezaji bora zaidi barani Afrika mnamo mwaka wa 2019 . 


Sadio ameshindana na Ryad Mehrez kutoka Algeria na yeye ni mchezaji wa Manchester City , na mmisri Mohamed Salah mchezaji wa Liverpool ambaye alipewa tuzo ile mnamo miaka miwili iliyopita . 


Wachezaji wawili ( Salah na Mehrez ) walikosa kuhudhuria sherehe  , kwani Mehrez anacheza mechi na timu yake dhidi ya Manchester katika kombe la jumuiya ya kiingereza . 


Mani anazingatiwa mtu wa pili kutoka Sengal aliyepewa tuzo baada ya ElHaj Daiof mchezaji wa Liverpool wa zamani ambaye alipewa tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa miaka ya 2001,2002 . 


Mani amefanikiwa kupewa jina kwa mara yake ya kwanza baada ya kuchaguliwa mara tatu hapo awali .


Ligi ya Sengal ilitoa msimu mkubwa  pamoja na Liverpool wakati ambapo ilipewa jina la ligi ya mabingwa wa Ulaya , pia ilishindwa  ligi kwa pointi moja kwa hesabu ya Manchester City . 


Mani alishinda kupewa jina la Mfungaji wa ligi ya kiingereza mnamo msimu uliopita sawasawa na mwenzake Mohemed Salah , na kutoka Gabon Bier Obamiang mchezaji wa Arsenal , kila mtu alifunga mabao 22 . 


Sadio aliziongoza nchi zake mnamo msimu wa joto uliopita kuelekea Fainali  za kombe la mataifa ya kiafrika  zilizofanyika nchini Misri , kwa mara ya pili , lakini Sengal ilishindwa kupata michuano ambapo haijaipata kamwe , kwa hesabu ya Algeria kupitia bao safi .

Comments