Wizara ya Vijana na Michezo inaKaribisha "Mkutano wa vijana" manmo usiku wa Mwezi wa Ramadhani.
- 2019-05-18 11:16:00
Wizara ya
Vijana na Michezo, kwa kushirikiana na Tasisi ya kitaifa ya Vyombo vya Habari,
ilifunga mkutano pamoja na matukio ya
programu ya mkutano wa Vijana , Katika kituo cha elimu ya kiraia huko
Al-jazera, Katika mfumo wa vikao vya kijioni vya mwezi mtakatifu wa Ramadhani.
Matukio ya
programu huo yalijumuisha mada kadhaa yaliyosimamiwa na Sheikh Yusri Azzam,
mmoja wa wasomi wa Al-azhar, naye amezungumzia fadhila na sifa za mwezi mtakatifu wa Ramadhani , Akazungumza kuhusu
umuhimu wa Sadaka na Ihisani wakati wa mwezi wa heri, unaofungua milango ya peponi,
na matendo mema huongezeka.
Pia
alizungumzia Matendo wa Bwana wetu Mtume Muhammad(s.a.w) katika mwezi wa
Ramadhani, na akaonyesha kwamba bwana wetu, Mtume wa Allah, alikumbushwa
wenzake na umma yake baada nafsi yake , na
baada ya kifo chake kwa sifa nzuri za mwezi huu, na akawaonyesha jinsi ya
kuchukua faida ya usiku na siku zake kwa njia sahihi.
Sheikh Yusri
Azzam pia alizungumzia sifa za Laylat al-Qadr na ishara zake, akisema: "Ni
moja ya usiku bora zaidi ambayo Mwenyezi
Mungu ameiwapa , kwa sababu ina sifa nzuri kubwa katika dunia hii na
Akhera(siku ya Mwisho) .. Na usiku hii ni sawa na miezi elfu, kinachsawazisha
na miaka 83. Na huitwa kwa jina hilo
Kulingana na thamani na heshima zake.
Pia
ilijumuisha kikao kuhusu mchango wa mchezo wa kuigiza( Drama) katika malezi ya ufahamu, pamoja na kuandaa
mashindano kadhaa katika uwanja wa kidini na habari za jumla kwa washiriki
kwenye mkutano, ambapo washiriki waliingiliana katika mashindano hayo, Mshindi
wa kwanza wa mashindano aliheshimiwa.
Mkutano
ulihudhuriwa na vijana wakiume na
wakike kutoka Benin, Djibouti, Somalia,
Afrika ya Kati, Uganda, Nigeria na Tanzania.
Comments