Sadio Mani ametoa tuzo yake ya mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa wamisri wote na wana wa jiji lake
- 2020-01-10 13:08:48
Msengal sadio mani mchezaji wa liverboal alielezea furaha yake ya kushinda tuzo ya mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa mwaka 2019.
Jioni ya jumanne ilitangazwa kushinda mchezaji Sadio Mani kwenye sherehe iliyofanika mjini Hurghada tuzo ya mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa mwaka 2019.
Na baadaye Mani alielezea furaha yake na haki yake kwa kuishinda tuzo hii aliyeitoa kwa familia yake na timu na wenzake katika liverboal na wamisri wote na wana wa Senegal .
Na Sadio Mani alishindana na Mwalgeria Riadh Mehrez mchezaji wa Manshester City na Mmisri Mohamed Salah mchezaji wa liverboal aliyeshinda tuzo hii miaka miwili iliyopita .
Na wachezaji wawili hawa Salah na Mehrez kutokwepo katika sherehe hii ;Mehrez ana mechi mbele ya Manshester United katika kombe la Unganisho wa Uingereza.
Na Mani anazingatiwa Msengal wa pili aliyeshinda tuzo baada ya Al-hajj Diof mchezaji wa liverboal ya awali aliyeshinda kwa mchezaji bora barani Afrika kwa miaka 2001 na 2002.
Na Mani alifanikiwa kushinda cheo kwa mara ya kwanza katika historia yake baada ya kugombea kwa mara tatu hapo awali.
Na Msengal wa kimataifa alicheza msimu mkubwa na liverboal na alishinda kwa duru ya ubingwa wa Ulaya kama alishindwa ligi kwa nukta moja tu kwa faida ya Mansheister City.
Na Mani aliwasilisha nchi yake wakati wa majira ya joto yaliyopita kwa fainali ya Umoja wa Afrika iliyofanika nchini Misri kwa mara ya pili katika historia yake lakini Senegal ilishindwa michuano isiyoweza kuishinda kamwe kwa faida ya Algeria kwa bao safi.
Comments