Waziri wa Vijana na Michezo anakumbuka Kumbukumbu za Shirikisho la Soka katika michuano ya 2006.
- 2019-05-18 13:58:42
Dokta Ashraf
Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, alikumbuka Kumbukumbu za wakati amabpo
alikuwa mwanachama mmoja wa baraza la Wakurugenzi wa Shirikisho la Soka mwaka
2005 na maandalizi ya michuano ya mataifa ya Afrika 2006.
Waziri
alisema katika hotuba yake: "Tulipanga katika shirikisho la soka
lililoongozwa na Essam Abdel Moneim jinsi ya Uandaji na ushindaji kwa michuano
ya Mataifa ya Afrika 2006 wakati nilikuwa mwanachama wa baraza la shirikisho la
Soka."
Na
aliwapongeza Hassan Shehata, kocha wa Misri wakati huo na kizazi kilichoshinda
michuano katika kipindi cha 2006 hadi 2010.
Waziri
aliongeza kuwa mpango huu ni wa kwanza wa aina yake iliyoelekezwa kwenye timu
ya Misri, na matarajio ya Ufuatiliaji adhimu
wa kimataifa kwa michuano.
Waziri
alisisitiza juu ya Imaini katika timu
ya kimisri kabla ya michuano ya Mataifa
ya Afrika 2019 na akiwaomba mashabiki kueneza kauli mbiu ya mpango huo, sisi
sote ni timu ya Misri.
Comments