Kuwepo hodari kwa timu ya (mafarao ) mnamo siku ya kwanza kwa mashindano ya kiafrika kwa Baiskeli

Matukio ya siku ya kwanza kutoka michuano ya Afrika kwa njia yalimalizika leo ,ambyo Misri itakayokarbisha mnamo wa muda 16 hadi 20 katika mwezi wa Januari kwa Ushiriki  wa nchi  kumi na mbili za kiafrika nazo ni :Misri ,Algeria ,Libya ,Maroko ,Seshal ,Kenya ,Brondi ,Borkina Faso ,Cote de'lvoire  ,Sudan ,Afrika Kusini na Nigeria .


Matukio ya siku ya kwanza yalikuja kama ifuatavyo : Afrika Kusini ilihakiksha ngazi ya kwanza katika mashindano ya Kufukuza ya timu ya wanawake wazima na katika ngazi ya pili Nigeria ilikuja ,pia Marocco ilihakiksha ngazi ya tatu .


Afrika Kusini ilihakiksha ngazi ya kwanza katika mbio ya kufukuza ya timu za vijana ,Misri ilikuja katika ngazi ya pili .


Misri ilihakiksha ngazi ya kwanza katika mbio ya kufukuza  timu za wanaume ,Algeria ilikuja katika ngazi  ya pili ,na Afrika Kusini ilikuja katika ngazi  ya tatu .


Afrika Kusini ilihakiksha ngazi  ya kwanza katika mbio wa timu za kasi ya wasichana na katika ngazi  ya pili ni Misri .


Misri iliweza mnamo siku ya kwanza kupata medali 10 nazo ni medali tatu za  dhahabu,medali tano za fedha na medali mbili za shaba .


Comments