Vikosi vya jeshi vinaandaa mashindano ya kombe la dunia la kijeshi la mwaka wa tatu la mpira wa mguu (Misri 2021)

Sekta ya michezo ya vikosi va jeshi inatilia saini mkataba wa uandaaji kwa kuhudhuria waziri wa vijana na michezo na mwenyekiti wa Shirikisho la Afrika.

Sekta la michezo la vikosi vya jeshi na baraza la kimataifa la michezo ya kijeshi,limtilia saini mkataba wa uandaaji mashindano ya kombe la dunia la kijeshi kwa mwaka wa tatu kwa mpira wa miguu (Misri 2021). Na yaliyozingatiwa mashindano ya kwanza ya kombe la dunia la kijeshi katika umbo lake mpya yaliyofanyika barani Afrika. Pamoja na timu 16 za kitaifa kwa kiwango cha dunia hushiriki , “timu nne kutoka Ulaya,timu nne kutoka Afrika,timu nne kutoka Asia,na timu nne kutoka Marekani mbili ”. Na mashindano hiyo yatafanyika kwenye viwanja vya “Kairo,Kitivo cha kijeshi  ,Ulinzi wa Anga ,El-Salam "Amani" ,Petro-Sport,na sekta la michezo la vikosi vya jeshi”.

Msaidizi wa waziri wa ulinzi alitoa hotuba na alisisitiza kwamba kukuza mashindano ya kimichezo na elimu ya kimwili miongoni mwa wanachama wa jeshi kwenye nchi mbalimbali ulimwenguni ni lengo la jeshi zote. Akifafanua kwamba vikosi vya jeshi vilivyoonyeshwa katika sekta la michezo la kijeshi limeahidiwa uandaaji wa ajabu wa mashindao hayo yaliyofanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika kwenye umbo lake mpya na kwa kushirikana  na wizara wa vijana na michezo na shirikisho la mpira w mguu la kimisri,yatakuwa bora zaidi.

Bwana Hervey Robert ,mwenyekiti wa baraza la kimatifa la michezo la kijeshi,alitoa hotuba ambapo alielezea furaha yake kuwa Misri inaandaa kombe la dunia la kijeshi kwenye mwaka wake wa tatu na pia alionesha kujiamini kwake kwamba mashindano hayo yatakuwa bora  ziadi. Na alielekea shukuru yake kwa mamlaka yote ya kiserikali yatakayoshirikiana na baraza la kimatifa la michezo ya kijeshi kwenye uandaaji huo.

Na kamati ya kiufundi ya baraza la kimataifa la michezo ya kijeshi ilikuwa ikiangalia kiwango cha utayarishaji wa nchi ya Misri kwa mashindano hayo kutoka,Viwanja,Hoteli,Hospitali, Usalama,na njia za Usafiri. Na Misri  ilipata  nafasi ya kuandaa mashindano hayo baada kutoa faili ya kugombea   kupitia matukio ya mkutano mkuu wa baraza la kimatifa la michezo ya kijeshi uliofanyika mjini Vietnam mwaka 2019.

Na mkataba wa uandaaji unasema kwamba kamati la kuratibu kwa kombe la mpira wa mguu la kijeshi lililo ni chini ya shirikisho la kimatifa la michezo na kamati ya maandamano ya kitaifa yanapaswa kushirikiana na yanapaswa kuhakikishwa viwango bora  zaidi vya ushirikiano ili kudhamini uandaaji uliofaa kwa kombe la dunia la mpira wa miguu la kijeshi .

Waziri wa vijana na michezo Ashraf Sobhy , idadi ya viongozi wa vikosi va jeshi, na pia baadhi ya wahusika wa umma na wa kimichezo kwenye Misri na Afrika,wamehudhuria matukio ya kutia saini ya mkataba.

Comments