Waziri wa michezo anakubali kuanza kutekeleza mbinu wa "VAR" katika ligi ya kimisri
- 2020-01-20 11:55:23
Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo alikubali taratibu za mkataba wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa miguu na shirika la kigeni linalohusika kutekeleza mbinu wa "VAR" katika mashindano ya ligi ya kimisri ya mpira wa miguu na hivyo ni baada ya makubaliano ya shirikisho na shirika juu ya vipengele vyote na kipengele muhimu zaidi ni kuendeleza mkataba huo kwa muda wa miaka mitatu na nusu
Na inayoamuliwa kutangaza maelezo yote mnamo siku zijazo na
tangazo rasmi la wakati wa kutekeleza mbinu wa "Alfar " wa ligi kuu
Ili kuhakikisha
kiwango cha ubora cha kihistoria na dhamana halisi kwa mpira wa miguu.
Na shirikisho la mpira lilikuwa limechukua njia ya Kuajiriwa
kwa kifedha ambako kunamaliza kwa uuzaji na kunadhamini kwamba mali yote itarudi kwa umiliki wa
shirikisho la mpira mwishoni mwa muda wa
utekelezaji ili mradi wote kwa mali yake na gharama zake uwe miliki safi
kwa shirikisho la mpira ambapo linaimarisha mali inayohusu shirikisho.
Comments