"Wizara ya Upangaji:inashirikisha katika mkutano wa 'Masanduku ya utajiri wa kiutawala barani Afrika' : Siasa na vitendo bora vya kulinda Mustakbaki kwenye Botswana. "
- 2019-05-19 00:34:55
Wizara ya Upangaji, Ufuatiliaji, na Marekebisho ya
kiidara ikiwakilishwa katika Dokta Ahmed Kamaly"Naibu wa waziri wa
Upangaji, Ufuatiliaji, na Marekebisho ya kiidara kwa masuala ya kupanga"
ilishirikisha katika matukio ya mkutano adhimu kuhusu"Masanduku ya Utajiri
wa kiutawala barani Afrika: Siasa na vitendo bora vya kulinda Mustakbali"
uliopangwa kwa Benki ya Botswana pamoja na mkutano wa (Brown capital
management) kwenye makao makuu ya kituo cha Ghaborn kwa mikutano ya kimataifa
kwenye Botswana, na kwa mahudhurio ya marais wa masanduku ya kiutawala,
wanasiasa wakubwa, na waatalamu.
Na Dokta Hala Elsaid alikuwa akisisitiza juu ya umuhimu
wa malengo ya mkutano, akiashiria kwa dharura ya kuchangia katika kuboresha
Uongozi wa masanduku ya kiutawala barani Afrika, na kuhakikisha tija kubwa
kupitia kuweka siasa maalumu na zipo ardhini mwa ukweli pamoja na kuainisha
nyanja muhimu zaidi za ushirikiano na masuala yanayohusu maendeleo ya kiafrika ambapo inawezekana
kuzijadiliwa kupitia masanduku ya kiutawala ya kiafrika, ukiongezeka na
ushirikiano Kati ya wanasiasa, marais wa masanduku, na wenye maslahi za sekta
ya kiserikali na binafsi, na kuzisaidia nchi ambazo bado zinatia shughuli kwa
masanduku ya kiutawala kupitia kupatikana taarifa toka masanduku ya kiutawala
yanayokuwepo sasa.
Na Elsaid aliashiria kwamba masanduku ya utajiri wa
kiutawala yanazingatiwa Kama chombo kikuu cha kuziba pengo la fedha kwa ajili
ya maendeleo yanayolazimishwa kwa kuhakikisha malengo ya maendeleo endelevu,
akiongeza kwamba kuna nafasi kubwa ya kuunda masanduku mapya ya utajiri wa
kiutawala kati ya nchi zinazoendelea, akisistiza juu ya lazima ya kuunda
masanduku ya utajiri wa kiutawala kutoka nchi zenye vyanzo vya kiuchumi
visivyotumiwa Kama njia kwa maendeleo endelevu.
Na Dokta Hala Elsaid aliashiria kwa jaribio la kimisri
linalohusu sanduku la Misri la kiutawala lililokuja kwa mfano wa ushirikiano wa
sekta mbili za kiserikali na binafsi, ambapo inawezekana kuutumia ili
kunufaisha kutoka vyanzo vikubwa na mizizi ya nchi, na kujumuisha sekta binafsi
katika suala hilo, akisistiza kwamba lengo kuu la sanduku ni kutumika utajiri
wa Misri na Rasilimali zake za asili kwa njia bora ili kuthaminiwa kwa ajili ya
vizazi vijavyo pamoja na mchango chanya katika mapato ya dola.
Na kwa upande wake, Dokta Ahmed Kamaly "Naibu wa
waziri wa Upangaji, Ufuatiliaji, na Marekebisho ya kiidara "aliashiria
kwamba mkutano adhimu huu ulifanyika kwa lengo la kujadili masuala na
changamoto zinazokabili masanduku ya kiutawala barani Afrika, ili uwe kama
nafasi ya kutoa mwanga juu ya mafanikio na changamoto pamoja na kuonyesha
uzoefu chanya, mafunzo, siasa zinazopo sasa, na vitendo vizuri zaidi vya uzoefu
wa kiafrika hadi sasa.
Na Dokta Kamaly aliendelea kwa kusema kwamba Sasa kuna
zaidi ya masanduku 14 ya kiutawala barani Afrika, akiashiria kwamba madola
kadhaa yapo katika awamu ya kuunda masanduku na alieleza kwamba mkutano
ulisisitiza masuala muhimu zaidi yanayohusu Uongozi wa masanduku yale, na
mchango muhimu wake katika maendeleo ya kiafrika yenye miaka kadhaa, na
uvumbuzi wa uwanja wa masanduku ya kiutawala.
Na Naibu wa waziri wa Upangaji alizungumzia sanduku la
kiutawala kwa kulizingatia chombo kimoja cha kuzidisha viwekezaji ambapo
aliashiria kwamba mnamo mpango wa dola wa kuhakikisha malengo la maendeleo
endelevu kulingana na mtazamo wa Misri 2030,na ongezeko linalohitajika la
uwekezaji na kutofautisha njia za fedha,
ilikuwa lazima kujenga taasisi kubwa ya kiuchumi inayoweza pamoja na
ushirikiano wa makampuni na taasisi za kitaifa na kimataifa kuongoza uwekezaji na matumizi bora kwa
mizizi na vyanzo vya dola ili kuvithaminiwa na kuelekea maendeleo pamoja na
kuhifadhi haki za vizazi vijavyo na hapa tunakuta wazo la kuunda "Sanduku
la Misri" ili liwe Sanduku la kiutawala la kimisri la kwanza linalolenga
kwa maendeleo endelevu ya kiuchumi.
Na Dokta Ahmed Kamaly aliongeza kwamba Sanduku la Misri
litaweza kuvutia uwekezaji katika nyanja mpya tofauti za kimikakati kupitia
urahisi na uhuru zitakazopatikana ndani yake, uzoefu wa kitaifa na kimataifa
ambao utalipewa na kushirikiana pamoja na taasisi mpya na mashirikisho makubwa
ya uwekezaji yatakayolichukua dola na uchumi wa kimisri kwa mahali mpya kwa
vizazi vijavyo.
Comments