Waziri wa michezo anashuhudia shughuli za kura ya michuano ya Kiarabu kwa Mini Foot ball

Dokta  Ashrf  Sobhy    waziri  wa  vijana  na  michezo  Jumamosi jioni ameshuhudia  shughuli  za  kupiga  kura  ya michuano ya  Kiarabu  kwa  Mini  Football    inayokaribishwa  na  Misri  , na  kutangaza   chombo  cha  kifanii  kwa  timu  ya  taifa  ya  Misri  , kwa  hudhuria  Ahmed  Dansh  mwenyekiti  wa  shirikiano la  Kiarabu  kwa  Mini  Football  , Ashrf bin  Salehe  naibu  wa  mkuu  wa  shirikiano  la kimataifa na  mwenyekiti wa  shirikiano  la  Kiafrika la  michezo  , Ahmed samer  mkuu wa  shirikiano  la  Kimisri  kwa  Mini  Football  , na  wajumbe  wa  shirikiano  la  Kiarabu  na  maafisa  wa mashirikiano ya  Kiarabu   wanachama  katika  shirikiano  la  kiarabu  .

 

Michuano  ya  Kiarabu  ya  timu  za  kitaifa  za  Meni  Football  inafanyika  chini  ya  uangalifu  wa  Waziri  wa  vijana  na  michezo  na  itazindua   tarehe  28 ijayo  . Kwa  ushirikiano wa timu  za  " Misri  , Lebanoni  , Irak,  Tunisia  , Somalia  , Gboti  , sudia  Arabia  na  Algeria  " .

 

 

Kura  imeonyesha kuchaguliwa  Misri  katika  kundi  la  kwanza pamoja na   timu  za  " Somalia  , Algeria na Lebanoni  "  na  timu  za  kitaifa  za  " Tunisia  , Gboti   ,Suduia  Arabia   na  Irak " zimekuja  katika  kundi  la  pili. 

 

Mkutano  umeshuhudia  kutangazia  chombo  cha  kifundi  cha  timu  ya  taifa  ya  Kimisri  ya  Foot ball  ambapo  kazi  ya  mkuu  wa kifundi  ilikuwa na kocha  " Faruk Gafar,  na  anasaidiwa  na  kocha  Alaa  Mihub  mkuu  wa  timu  ya  taifa   ,  kocha  Muhamad  salah  Abo  Gresha  kocha  mkuu   , kocha  Fekrii  Saleh   , kocha  Gehad  Arafa  , dokta  Muhamad  safy  El  dini   , kocha  Alaa  shakr  na  mtaratibu mkuu  wa  timu  ya  taifa  Yasser  Abdelazizi  .

Katika  kauli yake  , waziri wa  vijana  na  michezo  amesema  kuwa  " tunasherehesha  leo  kwa mtoto  mchanga   mpya  anayeunganisha  kwa  michezo  ya  Kimisri    ni  shirikisho  la Meni Foot ball   na  Misri  inakaribisha  kwa  mara  ya  kwanza  ya  michuano  ya Kiarabu kwa  Meni  Football  " akiashiria  msaada  mkubwa  unaotolewa  na  Mheshimiwa rais Abd Elfatah Elsisi   na  serikali  ya  Kimisri  katika  mfumo  wa  kuweka  mtazamo  na  mkakati  ili kueneza  michezo  kwa  upana  na  mashindano  katika  michuano  mbalimbali.

Waziri amesisitiza  mapatano na  kufuatana  na  shirikiano  la  Meni  Football kipindi kijacho kwa ajili  kueneza  michezo  na  kutandaza idadi  ya  wachezaji  nchini  Misri  kwa  ushirikiano  nyota  na  mabingwa  katika  soka  kwa  kuzingatia  misingi na  vipengele vipya  .

 

Ambapo  mkuu  wa shirikiano la  Kiarabu  kwa  Mini  Football  amefafanua  kuwa  uchaguzi  wa  Misri  kukaribisha  michuano  ya  Kiarabu  kwa  Mini Football  ni  uamuzi  bora  unaochukulewa  na  shirikiano  la  kiarabu  kuaminika kwa uwezo  wa  Misri  wa  maandalizi   inavyovimiliki  kutoka viwanja  vya  michezo  , na  mahali  pa  kitalii  na  kale   ambapo  pafanya  mafanikio rafiki  kwa michuano  yoyote  inafanyika  nchini  Misri  .

 

 Ahmed samer  mkuu  wa  shirikiano  la Kimisri la  Mini  Football  alisema  kuwa  " kwa  mara  ya  kwanza  nchini  Misri  kufanyika  michuano  ya  Kiarabu  ya  Mini  Foot ball  katika  toleo  la tafauti  ambapo  Misri  ikawa  mkao wa  mashirikiano  ya  michezo ya kimataifa  ili  kufanya  michuano  mbalimbali ndani  ya  Ardhi  ya historia.

 

Alifafanua kuwa Shirikiano  la  Kimisri  la  Mini  Football  linalenga  kutandaza  michezo  katika  maeneo ya  Misri  yote  ili  kuangalifu  vijana  na  kugundua  vipaji  na  kufikia  kwa  rika  la  vijana  wote  katika  mikoa  ya  Misri  kupitia  vituo vya  vijana  , pamoja  na  kupanua  ile ya  walengwa  .

Alitoa  shukrani  na  heshima  kwa  waziri  wa  vijana  na  michezo  juu  alichokitoa toka  msaada   kwa  michezo  ya  Kimisri  miongoni  mwake  ni  Mini  Football  , akiashiria  kuwa  anajitoma ili  Misri   iwe  mji mkuu  wa  dunia  katika  Mini  Football  mwaka  2020 .

 

 Michezo  ya  " Mini  Foot  ball  "  au  soka  yenye sura mfupi kuliko  soka  ya Kawaida vilevile  kuliko  soka  ndani  ya  kumbi   inatofuatisha katika  misingi  yake  na  ukubwa  wa  mpira  , na  mnamo  mwaka  2013 shirikiano  la kimataifa  kwa  michezo  ( WMF)  limeundwa  mjini  Barmengam  Ya  Kingereza  na  limeongozwa na  mcheki  " Feleb  Goda  " na  naibu  wake  mtunisia   Ashraf  bin  saleh   mkuu  wa  shirikiano  la  Kiafrika  la  Mini  Football  .

Comments