Ashraf Sobhy : wanariadha wanasajili mafanikio makubwa zaidi katika rekodi ya michezo ya Kimisri
- 2020-01-20 12:08:09
Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo alieleza kuwa wana wa Misri kutoka vijana wenye vipawa katika michezo mbalimbali wanahakikisha kwa uvumilivu wao mafanikio makubwa zaidi ya kimichezo katika michuano yote ya kimichezo ambapo wanashiriki, na hawakuridhika kwa ushiriki wa heshima tu bali wanahakikisha malakabu yake mbalimbali kwa utendaji wao wa kipekee.
Katika mraba wa ufuatiliaji wa Waziri kwa ushiriki za
wachezaji wa Misri katika michuano mbalimbali, Dokta Ashraf Sobhy alielezea
shukrani zake kwa mchezaji Mohamed Hamza mchezaji wa timu ya kitaifa ya silaha
ya Shish, baada ya ushindi wake kwa medali ya kidhahabu katika michuano ya
kombe la dunia la vijana, iliyofanyika nchini Ufaransa, baada ya ushindi wake
kwa bingwa wa Ufaransa katika mechi ya mwisho.
Waziri wa vijana na michezo aliendelea kusema : ( tunajalia
kutoa uungaji mkono na uangalifu wote kwa wana wa Misri wenye vipawa vya
kimichezo kwa uratibu na kamati ya Olimpiki na mashirikisho ya kimichezo
yanayohusika, na tunafanya juu ya kukidhi mazingira inayowahimiza wachezaji kwa
kuzingatia kamili katika mazoezi pamoja na kuwahamasisha kwa ushindi katika
michuano ya kimataifa.
Pia Waziri wa vijana na michezo alisisitiza uungaji mkono wa
rais Abd Elfatah Elsisi rais wa Jamhuri
kwa mabingwa wa riadha, pamoja na kujali kwake juu ya kuheshimu mtu yeyote
kutoka wao anayehakikisha mafanikio, hii ni sababu kubwa na yenye athari katika
kuwahimiza wachezaji juu ya kuhakikisha mafanikio zaidi, akiashiria mkakati na
maoni ya wizara ya vijana na michezo katika kuunga mkono sekta ya michuano na
mashindano michuano hasa mashindano ya kikao cha michezo ya
Olimpiki yanayokaribia na michuano itakayokifikia, huko mjini Tokyo.
Katika muktadha huo huo, wizara ya vijana na michezo inajali
kugundua wachezaji wenye vipawa kupitia mradi wake ambao ni ( mradi wa kitaifa
kwa vipawa na bingwa wa Olimpiki ), hii katika kundi la michezo mbalimbali kama
: mpira wa kikapu, Judo, mweleka, ndondi, tenisi ya mezani, kuinua uzito,
michezo ya nguvu na Taekwondo).
Comments