Wachezaji 13 wanaiwakilisha Misri katika mashindano ya Ligi Kuu ya Karate mjini Paris

Wachezaji 13 wa timu ya kitaifa ya kimisri kwa karate katika Mashindano ya Ligi Kuu ya Karate yanayoamuliwa kufanyika mnamo kipindi cha 24 hadi 26 mwezi wa kwanza katika Paris mji mkuu wa Ufaransa , nayo ni miongoni mwa  mashindano muhimu ya kiwango cha olimpiki kwa wachezaji katika njia ya kufikisha Olimpiki ya Tokyo 2020


Ujumbe wa timu ya kitaifa unajumuisha wachezaji 13 ,  wanawake watano, na wanaume wanane. 


Wachezaji wanaume ni : Ali Al-Sawi (-67 kg), Abdullah Hisham Abdel-Jawad (-67 kg), Abdullah Mamdouh Abdel Aziz (-75 kg), Taha Tariq (+84 kg), Ali Al-Koumi (Kata), na islam Ahmed Hassan ( Kata), Youssef Ashraf (Kata), na Ahmed Ashraf (Kata). 


Wachezaji wanawake ni: Radwa Sayed (-50 kg), Yasmine Hamdi (-55 kg), Gianna Farouk (-61 kg), Feryal Ashraf (-68 kg), na Sarah Asem (Kata).


 Suhaila Ahmed (+68 kg) na Reem Ahmed (-50 kg) kwa gharama zao watashiriki kwenye mashindano hayo.


Na timu ya kitaifa inaongozwa na makocha Hany Keshta , Mostafa Ibrahim pamoja na Mohamed Abd Elregal Goda kwa gharama ya shirika ya kudhamini ya kampuni na Refa wawili  Emad Elsersi na Tarek Ragai wanaambatana ujumbe na kiongozi wa ujumbe ni Sameh Elshabrawi

Comments