Wizara ya michezo na Wadi Degla zitia saini mkataba wa Ufahamu kuwafadhili mabingwa wa Tokyo 2020
- 2020-01-21 22:45:19
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo ameshuhudia kutia saini mkataba wa Ufahamu kati ya wizara ya vijana na michezo na kampuni ya klabu za Wadi Degla , ili kuwafadhili wachezaji fulani kuwafikisha na kuwaandaa kwa mashindano ya kikao cha michezo ya olimpiki ya Tokyo 2020 .
Waliohudhuria maadhimisho ya kutia saini ya nidhamu hiyo ni Dokta HAIAT KHTAB mkuu wa baraza la uongozi wa kamati ya Baralmbia , Mhandisi MAGED SAMY mkurugenzi wa baraza la uongozi wa kampuni ya klabu za Wadi Degla , TAREK RASHED mkuu wa baraza la uongozi wa klabu ya Wadi Degla , na idadi ya marais wa mashirikisho ya kimichezo na viongozi wa wizara ya vijana na michezo, na wanachama wanaheshimiwa wa vyombo vya kisanii na kocha na idadi ya wachezaji wanaotoa mfano bora kwa michezo ya kimisri .
Dokta Ashraf Sobhy akasema :" mkataba wa Ufahamu unakuja katika mfumo wa mkakati wa wizara husika ili kuwafadhili wachezaji na kuwaandaa kwa kushina ubingwa wa ulimwengu na kuinuka jina la Misri hapo juu , sisi tunataka hali kamili ya kimichezo , mashindano ya Tokyo yanazingatiwa tukio kubwa zaidi duniani , kwa ushiriki wa nchi 207 , kwa kushindana kwenye michezo ya olimpiki 33 , pamoja na michezo 22 ya olimpiki ".
Dokta Ashraf Sobhy akashukuru sekta binafsi kwa jukumu lake kufadhili shirika la michezo nchini Misri kwa kusaidi kuwaandaa mabingwa wachezaji wanaoandaliwa kwa misaada yote ikiwa kwa upande wa kiufundi au kifedha , ili kutoa mfano mzuri na unaofaa kwa Olimpiki , akiashiria kwamba mkataba wa Ufahamu ni utekelezaji wa kweli kwa wajibu wa kitaifa , unaowakilisha sehemu muhimu sana miongoni mwa majukumu ya taasisi kwa nchi zao .
Waziri wa michezo akasisitiza imani ya nchi na uwezo wa vijana wamisri katika kufanikisha ndoto ya kushiriki na kushindana kwenye medali ya michezo ya olimpiki , akiashiria umuhimu wa uangalifu wa aina hii , hasa kuwa kampuni ya klabu za Wadi Degla ni mojawapo ya taasisi zinzowekeza vipaji vya kimichezo vinavyoweza kuhakikisha mafanikio na kupata majina mengi yanayosaidia kuinuka umuhimu wa Misri wa kimichezo .
Kwa upande wake Mhandisi MAGED SAMI - Mwenyekiti wa baraza la uongozi wa klabu za Wadi Degla, alizungumzia vifaa vya Kampuni ya Klabu za Wadi Degla kutoa msaada wa nyenzo na maadili kwa mfumo wa michezo ili kuinua kiwango cha mabingwa wake katika michezo mengi, na kwa kuzingatia jukumu lake la kijamii katika kukuza uelewa wa taasisi mbalimbali za umuhimu wa kushiriki na kuandaa michezo ili kuboresha kiwango cha mabingwa wake katika nyanja mbalimbali , Na kuanzia jukumu lake la kijamii katika kukuza uhamasishaji miongoni mwa taasisi mbalimbali za umuhimu wa kushiriki katika kuandaa na kutengeneza mabingwa wa michezo, akisisitiza kwamba uwekezaji wa watu ni jukumu la kitaifa ambalo linakabiliwa na jukumu la kijamii la taasisi zote, kwa hivyo dhamira yetu ni kuunda jamii ya mashujaa.
Magdi Sami aliendelea, "nashukuru Wizara ya Vijana na Michezo kwa msaada wake kwa wanariadha wa michezo wa Misri ili kuongeza nafasi ya Misri ya medali za Olimpiki, kwa hivyo kutoa ubingwa wa Olimpiki unaonyesha nguvu ya nchi".
Mkataba wa Ufahamu unatoa misaada tofauti kwa idadi kadhaa ya mabingwa wanaotarajiwa kupitia kuwaunda na kuwawezesha kwa ujuzi unaohitajika kuelekea michezo ya Olimpiki huko Tokyo 2020 na kuhakikisha tija bora. Na mkataba huo unaunga mkono na unawazingatia mabingwa 7 na timu kamili , nao ni Mohamed Abdel-Mawgoud, bingwa wa Judo, Abdel-Latif Mounea, bingwa wa Mieleka ya Roma, Mohamed Taher Ziada, bingwa wa Ushujaa , Ali Al-Sawy, bingwa wa karate, Islam Hamed, bingwa wa Khomasi ya kisasa, Mohamed Safwt bingwa wa Tenisi ya ardhi, pamoja na timu ya mpira wa wavu.
Comments