Siku ya jumatatu asubuhi Dokta Ashraf sobhi waziri wa vijana na michezo alizindua programu “shindano la vijana 2020” inayopangwa kwa wizara ya vijana na michezo chini ya kichwa cha “wakati wetu..jukumu letu..mustakbali yetu”kwa ushirikiano wa shirika la UNISCO, programu ya maendeleo,mamlaka ya Bilan ya kimataifa na kwa mahudhurio ya Bwana Bronomais mwakilishi wa shirika la Umoja wa mataifa kwa Utoto nchini Misri ,Bibi Randa Abo Elhasan mwakilishi wa programu ya maendeleo nchini Misri ,Mudather Sadiki mwakilishi wa mamlaka ya Bilan ya kimataifa.
Programu ya shindano la vijana 2020 inalenga kwa kuzoeza watoto na vijana kutoka miaka 14-24 kwa uvumbuzi kwa ajili ya maendeleo na kufanya miradi ya kijamaa yana sifa za uvumbuzi na ubunifu , inajengwa kwa ushirikiano ya ufanisi na programu zinazotekelezwa kwa wizara kwa ushirikiano na mashirika ya kimataifa,pamoja na kuwakaribisha vijana walioshinda katika shindano la vijana la kwanza lililofanywa mnamo miaka 2018/2019 kutoka madola matano Sudan , Zimbabwe, kaskazini mwa Makdonia , Tayland, Bakestan.
Mwanzoni mwa kauli yake, Dokta Ashraf Sobhy aliwakaribisha walioshirikiana katika programu hii inayoambatana kwa wazo la maendeleo ya ufanisi linalosisitiza kwa kutoa njia zote za kuzosheleza maisha mazuri kwa binadamu kupitia dhamana na Uungaji mkono kamili unaotoa na Mheshemiwa Rais Abd El Fatah El_sisi Rais wa jamhuri ya Misri ,hasa inayoambatana na kufunza vijana kuwawezesha na kuendelea ujuzi wao , Ujasiriamali na kuwawezesha katika ushirikiano wa kiutendaji katika kutekeleza malengo ya Maendeleo endelevu na kutekeleza maoni ya Misri 2030.
Waziri wa vijana na michezo wakati wa kauli yake aliongeza kwamba kuzindua programu inakuja miongoni mwa mlolongo wa miradi na programu zinazotoa muhimu kutoka wizara ya vijana na michezo katika nyanja za teknolojia , Ujasiriamali, ujuzi wa maisha na ushirikiano wa taasisi na mashirika ya kimataifa na upande unaohusu vijana katika kuzoea ndani ya mamlaka ya vijana na michezo, vyuo vikuu na vyuo na shule zinazotekelezwa kwenye mikoa yote ya Misri ili kutosheleza nafasi za ajira kwa vijana na kuwaongeza kwa ujuzi unaohitajika ili kujuunga katika soko la Ajira.
Na katika muktadha huo huo, Dokta Sobhy aliwapongeza washindi katika mpango wa shindano la vijana kwa mwaka 2018/2019 na aliwatoa tuzo.
Inayopaswa kutaja ni kwamba wizara ya vijana na michezo inatekeleza programu ya shindano la vijana katika mikoa 10 nayo ni Kairo ,Aleskandaria ,Asyot,Sohag,Qena,Aswan,Kafr El Shikh,Gharbia kupitia na kuzoea kundi la wakufunzi wa Masomo ya juu ili kuitekleza pamoja na vijana kupitia makambi kwa mikoa kumi na inatarajiwa kwamba washiriki 50 katika katika kila kambi na mkoa.
Kama timu tano zitafikisha kutoka mikoa inayolengwa na kila timu itapata elfu paundi 16 kutoka pande zinazoshiriki na timu hizi zilizoshinda zitafuata ili uteuzi na kupanga timu zinazoshiriki katika ushindano ya kimataifa "shindano la vijana" katika mfumo wa mpango wa kizazi kinaelekea Ulimwengu .
Comments