Rais Elsisi anatafutia maandalizi na hatua za kiutaratibu za michuano ya "Mataifa ya kiafrika".

 

Baada ya mchana ya leo,  rais Abd Elfatah Elsisi alitafutia maandalizi na hatua za kiutaratibu zinazohusu michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika kwa mpira wa miguu 2019 inayoamuliwa kufanyikwa nchini Misri toka mwezi ujao.

 

Naye aliangalia nidhamu ya kutoa kadi za mashabiki na kununua tiketi, na hayo yote kwa mahudhurio ya Mhandisi Sherif Ismail "Msaidizi wa rais wa Jamhuri kwa miradi ya kitaifa na kimikakati", Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa vijana na michezo", Jenerali Abbas Kamel"Rais wa upelelezi mkuu", Mhandisi Hani Abo Rida "Rais wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa miguu", na Rais wa tume iandaayo michuano.

 

Na Balozi Bassam Radi "Msemaji rasmi kwa jina la urais wa Jamhuri "alieleza kwamba rais alisikiliza kwa maelezo ya mfumo wa tiketi za michuano ya mataifa ya kiafrika, kisha alipokea kadi ya shabiki wa kwanza wa michuano.

 

Pia rais alishuhudia utoaji wa hirizi rasmi ya michuano ya mataifa ya kiafrika, ambapo tume iandaayo ilitoa kwake aina ya hirizi mnamo mwisho wa maonyesho, pia alisisitiza kuchukua picha za kumbukumbu pamoja na kundi la vijana wanaoshughulisha katika mfumo wa kutoa kadi za mashabiki.

Comments