Februari ... Misri itakaribisha kombe la dunia kwa Khomasi ya kisasa kwa ushirikiano wa nchi 40
- 2020-01-22 11:21:16
Shirikisho la Khomasi ya kisasa kwa uongozi wa Mhandisi Sherif El-Aryani limetangaza ukaribishaji wa Misri kwa shughuli za michuano ya kombe la dunia " miongoni mwa Fainali zinazofikisha Olimpiki ya Tokyo 2020 inayozindua shughuli zake tangu tarehe 26 mwezi wa Februari mpaka mwanzoni mwa Machi ijayo itakayofanyika kwenye viwanja vya klabu Blatenyum eneo la Eltgamua el khames mijini Kairo mpya .
Inadhaniwa , takriban wachezaji ( wasichana na vijana)500 , kocha na wasimamizi kutoka nchi 40 watashiriki katika michuano ambapo nchi 30 zimesisitiza mpaka hivi kushirikiana kwake kupitia usajili wa rasmi kwa mkao wa shirikiano la kimataifa la michezo nazo ni Argantinia , Austria ، Belaurusi, Barazila, Balagharia ,Canda, Uchina, Ucheki, phenlanda, Ufaransa, Gorjia, Ujerumani, Uingereza, Hungary ، Irlanda ,Italia, Japan, Kasakhstani, Korea, lutakia , Lusitania ، Mexico, Bolanda, Urusi, Afrikaans ya kusini , Asbania , swiz ,Ukarania , Uzbakstani , Misri " nchi inyokaribisha " .
Mhandisi Sherif El-Aryan alisisitiza kuwa shirikiano limeshafanya pamoja na kamati husika mikutano kadhaa inayopanga pamoja nae Bwana :- Hashem Yaseen mkurugenzi mtendaji wa shirikiano na mwandazi mkuu wa michuano na kocha Ali Asam mkurugenzi wa michuano ili kufikia shughuli za mwisho ili kuandaa viwanja vya michuano katika klabu ya Belatenyum katika eneo la Eltgamu Elkhams na kupitisha vikwazo vyote na kuchukua hatua zote na vibali vya usalama ili kuzilinda nchi zinzoshirikisha katika michuano pamoja na matayarisho ya timu ya taifa ya Kimisri inayojumuisha wachezaji 12 .
" El aryan " aliongeza kuwa kukaribisha michuano yao kombe la dunia ni kuendelea mfululizo wa michuano zinazokaribishwa na Misri katika michuano ya Khomasi ya kisasa, ambapo maandalizi ya michuano ya dunia kwa vijana chini ya umri 17-19 mjini Garda mwezi wa Oktoba ujao na mkuu wa shirikiano aliashiria kuwa michuano hizi zinaunga mkono kwa nguvu michezo ya kitalii nchini Misri , uwezo wa Misri wa maandalizi unasisitiza kukaribisha matukio muhimu Na ni ujumbe kwa wote kwamba Misri nchi ya usalama na inayozungusha kwa wadugu wote na ulimwengu kote .
Shrief El-aryan akiashiria kuwa michuano ya kombe la dunia " miongoni mwa michuano inayofikisha Olimpiki Tokyo 2020 " jambo linalofanya mashindano magumu kwa timu yetu ya kitaifa kutokana na ukaribu wa kumalizika orodha ya mwisho ili kufikia Olimpiki ya Tokyo itakayotangazwa mwanzoni mwa Juni ujao baada ya kumalizika michuano ya dunia kwa wazima itakayofanya nchini Uchina .
Comments