Ayman Abd El-Wahab : Misri itaandaa tukio la kihistoria katika michezo ya kwanza ya kiafrika kwa michezo ya olimpiki ya walemavu
- 2020-01-24 16:21:09
Ayman Abd El-wahab mwenyekiti wa kikanda kwa olimpiki ya walemavu ya kitaifa katika eneo la Mashariki ya kati ,alisema kuwa Misri itaandaa tukio la kihistoria kwa michezo ya kwanza ya kiafrika kwa olimpiki ya walemavu mnamo muda 23 kwa 31 katika mwezi huu wa Janauri huko uwanja wa Kairo na El Defaa ElGawi .
Abd El_Wahab alisema katika mkutano wa uandishi wa habari kwa kutangaza maelezo ya kikao kinachokarbishwa na Misri kuwa michezo ya kiafrika ya kwanza itashuhudia nyingi kutoka matukio ya kihistoria baadaya Misri ilikarbisha michezo ya kwanza kwa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini mnamo mwaka wa 1999 kisha nchi ya Emaraits mnamo mwaka wa 2019 kwa kuandaa michezo ya kwanza ya kidunia katika eneo la Mashariki ya Kati.
Rais wa kikanda alifuata kuwa wakati na kukarbisha tukio kubwa mnamo wakati mfupi inazingatia mafinkio makubwa kwa ushirki wa mchezaji 800 kutoka nchi ya kiafrika 42 ,pia kusawazisha kiasi cha wasichana na wanaume kwa mara ya kwanza katika historia ya michezo yoyote ya olimpiki ya walemavu .
Michezo hii itakuwa ya kwanza ya aina yake barani katika olimpiki chini ya Uangalifu wa Rais Abd El-Fatah El-Sisi ,na kusaidia kwa Dokta Ashraf Sobhy waziri wa michezo na baraza la mawaziri .
Wachezaji wanashinda juu ya michezo 4 ni (mpira wa miguu _michezo ya nguvu _mchezo wa kikapu _Bushi ).
Comments