Waziri wa vijana : Misri itauvutia ulimwengu kupitia kupanga kwa michezo ya kwanza ya kiafrika ya olimpiki ya walemavu
- 2020-01-24 16:26:03
Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo alisisitiza kwamba yeye ana imani katika uwezo wa Misri kwa kuvutia ulimwengu kupitia kupanga kwa michezo ya kwanza ya kiafrika ya olimpiki ya walemavu na inaamuliwa kufanyika kupitia kipindi cha 23 hadi 31 mwezi wa Januari. Na Sobhy aliongeza kwamba yeye daima anafurahi kwa kuwepo kwake pamoja na mabingwa wa olimpiki maalumu ya kimisri kwa sababu ya Utashi, azimio na roho yenye uwezo na nguvu zinazoweza kufanya isiyowezekana.
Na waziri wa vijana alielezea furaha yake kwa kuweka mashindano chini ya usimamizi wa Rais Abd El fatah El sisi aliyekuwa mtu wa kwanza aliyetetea masuala ya ulemavu wa akili kupitia kuhudhuria kwake ili kufungua michezo ya kikanda ya nane nchini Misri 2018 kama alipitisha sheria ya ulemavu 2018.
Kauli za waziri wa vijana na michezo zilikuja kupitia mkutano wa waandishi wa habari unaohusu kutangaza maelezo ya mwisho ya michezo ya kiafrika ya kwanza ya olimpiki ya maalumu na inayofanyika kwa mara ya kwanza mnamo kipindi cha 23 hadi 31 mwezi wa Januari 2020 kwa kushirikia kwa nchi 42 za kiafrika.
Na wachezaji 800 kutoka wanawake na wanaume wanashiriki katika kikao hicho na wanawakilisha dola 42 zinashindana katika michezo minne : "Mpira wa miguu, michezo yenye nguvu, Mpira wa kikapu, na Buchi"
Comments