Waziri wa vijana na michezo anampokea mkuu wa shirikisho la kimataifa la Skwoshi
- 2020-01-24 16:32:32
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amempokea mkuu wa shirikisho la kimataifa kwa Skwoshi mfaransa Bwana Jak Fwntin kwa mahudhurio ya Wilyam lwis Mkurugenzi mtendaji kwa umoja wa kimataifa kwa Skwoshi ,Asem Khalifa mkuu wa umoja wa kimisri,Walid Al_somiai mkuu wa umoja wa kweit,kansela Ahmed mudin katibu mkuu kwa umoja wa kiarabu,pamoja na Bwana Ehab Hafez katibu wa sanduku la umoja wa kiarabu.
Na Sobhy amekaribisha Mkuu wa shirikisho la kimataifa na ujumbe unaaimbatana huko wanaokuwepo nchini Misri akatamani makazi mema mnamo kipindi cha kuwepo kwake nchini Misri ,kama akipongeza kwa juhudi ya shirikisho la kimataifa lile kwa kufanyika mchezo wa Skwoshi iwe ndani ya vikao vya michezo ya kiolimpiki na Misri inaunga mkono juhudi hizi.
Hasa kwamba Misri hivi karibuni imekuwa miongoni mwa nchi yenye nguvu zaidi katika mchezo hii ya Skwoshi kwa ngazi zote ikiwa wanaume au wanawake na vijana kutoka jinsi mbili,akisisitiza kwamba Misri inamiliki muundombinu bora ya kimichezo kwa michezo yote hasa Skwoshi ,pia Misri ipo tayari kupitia wakati wowote kukaribisha michuano yote ya dunia inayopangwa kwa shirikisho la kimataifa kwa Skwoshi .
Kutoka upande wake mkuu wa shirikisho la kimataifa alitoa shukrani kwa Dokta Ashraf Sobhy kwa kujali kwa wizara ya michezo kwa mchezo wa Skwoshi na kufanya juhudi kwa kuieneza katika pande zote za Jamhuri na kuwahimiza vijana kwa kushirikiana naye,iliyoonyesha ubora wa Misri na kuifanyika miongoni mwa nchi bora zaidi ya ulimwengu katika mchezo wa Skwoshi .
Comments