Waziri wa vijana na michezo anasifu utendaji wa wanaume wa mpira wa mikono : tunangoja kufikia Olimpiki ya Tokyo 2020

Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo ameeleza utendaji wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa mikono kama utendaji  bora na wa shujaa, baada ya ushindi wake dhidi ya timu  ndugu ya kitaifa ya Algeria kwa  (30/27).


Sobhy amesema kuwa mabingwa wa Misri wameweza kumaliza mechi kwa masilahi yao mnamo vipindi viwili vya mechi vya kwanza na pili, ambapo mechi hiyo ilikuwa nguvu dhidi ya moja ya timu ya kitaifa bora zaidi katika mpira wa mikono.


Sobhy amewataka wachezaji kwa kufanya juhudi zaidi katika mechi ya fainali na kuhakikisha usawa wa pande mbili, kwa kushinda michuano hiyo na kufikia Olimpiki ya Tokyo mnamo majira ya joto ijayo.


Amemaliza maneno yake kwa kupongeza wafanyikazi ya kiufundi na ya kiidara pamoja na wanachama wa baraza la uongozi la shirikisho la Kimisri kwa mpira wa mikono kwa utendaji huo wa kipekee na ushindi mkubwa uliowafurahisha wananchi wa Misri.


Dokta Ashraf Sobhy amejali kwa kupongeza wachezaji pamoja na Kuwalipa tuzo ya kipekee, pia atawaandalia karamu maalumu ya chakula cha jioni.


Waziri wa vijana na michezo ameadhimisha na mwenyekiti wa shirikisho la Kimisri Ia mpira wa mikono na idadi ya mashabiki katika nyanja duara wakibeba bendera ya Misri, hayo kwa ushindi  unazingatia lango la kufikia ili kushinda kombe la michuano.


Imetajwa kuwa waziri wa vijana na michezo ameondoka asubuhi ya leo kwenye Jamhuri ya kindugu ya Tunisia ili kuunga mkono kwa  timu ya kitaifa ya Misri kwa mpira wa mikono  inayoshindana juu ya ushindi  wa lakabu ya Kiafrika na kufikia Olimpiki ya Tokyo 2020.

Comments