Waziri wa masuala ya vijana na michezo nchini Tunisia apokea waziri wa vijana na michezo kutoka kufikia kwake kwa uwanja wa ndege wa Kartaga ili kukutana na timu ya Misri kwa mpira wa mikono

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo ,alifika uwanja wa ndege wa Krtaga akija kutoka uwanja wa Kairo wa kimtaifa ili kukutana na timu ya Misri kwa mpira wa mikono inayoshirki katika mashindano ya michuano ya nchi za kiafrika na inayofikisha kombe la dunia na olimpiki Tokyo 2020.


Dokta Snya bn Elsheikh ,waziri wa masuala ya vijana na michezo kwa jamhuri ya kitunisia ,Mheshemiwa Balozi Nabel Elhbshy Balozi wa Misri nchini Tunisia ,Bwana Farouk Elmodb mkurgunzi wa ushirkiano wa kimataifa , na Bwana Zyad Elslma mkurgunzi wa ofisi ya uandishi wa habari  wote walimpokea alipofika.


Timu ya Misri inakutana na mwenzake wa timu ya Algeria mnamo saa kumi na nusu mchana  ,katika mechi ya nusu ya fainali inayopata kujali kukubwa kwa timu mbili .


Timu yetu ya kitaifa iliweza kupata alama kamili kwa nafasi ya kwanza kwa kushinda dhidi ya Ghenya 22/39 kisha Kenya 44/19 na mwisho Kongo ya kidemokrasi kwa 28/19 .


Mashindano yanayofanyawa kwa umbo mwenyewe wa kombe la dunia kwa wakubwa yaliyofanyikwa mwaka jana nchini Denemark , na Ujermani kwa kufikisha  timu 8 kutoka nafasi ya kwanza kwa robo ya finali kwa alama za mapambano wazi yaligwanyawa kwa makundi mawili ,kiasi kwamba timu ya Misri ilifainika katika kufikia nusu ya fainali mapema pamoja  na Angola .


Imetajwa kuwa waziri wa michezo ameondoka  leo asubuhi kwa jamhuri ya kitunisia ili kusaidia timu ya Misri kwa mpira wa mikono inayoshindana juu ya ushindi kwa lakabu ya kiafrika na kufikia olimpiki ya Tokyo 2020.

Comments