Madbuli anaongoza mkutano wa kamati kuu kwa michuano ya kombe la dunia la mpira wa mikono wa wanaume 2021
- 2020-01-26 12:49:58
Dokta Mustafa madbuli Waziri Mkuu anaongoza mkutano wa kamati kuu kwa kombe la dunia la mpira wa mikono Kwa wanaume 2021 , na hivyo kwa mahudhurio ya Dokta Muhamad Shaker , waziri wa Umeme na nishati asili ,Dokta Khaled Elanany waziri wa Utalii na vitu vya kale , Dokta Hala Elsaid waziri wa Upangaji na maendeleo ya kiuchumi , Dokta Muhamad Muwty waziri wa Fedha , Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo ,Dokta Asem Elgazar waziri wa Makazi na Mahali pa nyumba , Jenerali Basem Ryad Msaidizi wa mwanajeshi mkuu wa jeshi , Hussen labeb kocha wa michuano , Tarek Eldib naibu wa kocha wa michuano na Ahmed Elshekh mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano ya serikali .
Mwanzoni mwa mkutano , waziri mkuu alisisitiza kuwa lengo la Kamati hiyo ni kuhakikisha maandalizi na matayarisho muhimu yanayohusu kupanga michuano , akiashiria kuwa kamati itaendelea kufuata mara kwa mara mpaka mUda wa kuanzia shughuli za michuano , akisisitiza kutilia mkazo kwa kuendeleza maeneo yanayozungusha kumbi zinazoshirikisha katika michuano hiyo na kuboresha njia na kutilia maanani kilimo na kupanda .
Kutoka upande wake, waziri wa vijana na michezo alionyesha shughuli muhimu zaidi zitakazofanyiwa kwa wizara husika ili kuitoa michuano kwa namna inayofaa jina la Misri , akiashiria katika upande huo huo kuwa jukumu la wizara ya Afya linajumuisha kupatikana huduma za matibabu ya Awali na waganga na matayarisho ya kitiba ndani na nje ya kumbi na vituo vya media na vituo vya kutoa vitambulisho na vinginevyo kutokana na misingi ya shirikiano la kimataifa, pamoja na kupatikana huduma za kitiba ndani ya kumbi, hoteli, mahali pa mazoezi na shughuli pamoja na kujali kupatikana makubaliano ya huduma na hospitali pembezoni mwa kumbi na mahali pa michezo , na kuhakikisha uwezo wake wa kuwapokea mjiruhiwa yeyote na kuwezesha mpango kwa waganga wa vyumba vya kitiba katika viwanja vya ndege kwa mujibu wa misingi ya kimataifa na kurahisisha kutendana na timu zinazoshirikisha kwa vyombo vya habari na hadhira , na kufanya mazoezi kwa wajitolee juu ya vyombo vya matibabu ya dharura na kupatikana huduma za kitiba zinzowahusisha mnamo kipindi cha michuano .
Waziri alielezea juhudi zinzotolwa kwa wizara ya Utalii ili kuvutia macho maeneo ya kiutalii nchini Misri kupitia tukio muhimu lile , akiashiria jukumu la wizara ya Anga ya kitaifa kupitia kampuni ya kitaifa "Misri kwa viwanja vya ndege " katika kuunga mkono michuano , pamoja na wizara nyingine ili kutosheleza huduma na misaada yote ya kilojistiki na mahitaji ya kiteknolojia ; ili kuonyesha Misri yenye Ustarabu katika kupanga tukio la kimataifa kama hilo .
Vilevile , waziri akiashiria kumbi zinzokaribisha michuano nazo ni : ukumbi unofunkiwa kwenye uwanja wa Kairo kwa kiasi cha kuwapokea watazamaji elfu 17 , na ukumbi wa mji mkuu mpya wa kiidara kwa kiasi cha kuwapokea watazamaji 7600 , pamoja na ukumbi unaofunikwa kataika eneo la sita Octoba na kiasi cha kuwapokea watazamaji 4500 , ukumbi unaofunikwa katika mnara wa waarabu kwa kiasi cha kuwapokea watazamaji 4500 , akiashiria katika upande huo huo kwa shughuli za kuendeleza kumbi za mazoezi zinzokaribisha michuano .
Mwishoni mwa mkutano , waziri mkuu alichukua jukumu pamoja na Waziri wa Utalii na vitu vya kale kwa kuhifadhia nafasi kwa timu na hadhira ; kwa kuzingatia usambazaji wa michuano hiyo pamoja na msimu wa kiutalii mnamo mwezi wa Januari 2021 na kutilia maanani mapatano na wizara ili kulitangaza tukio hili , kuvuta hadhira na kuandaa programu ya kiutalii kwao , na kuhakikisha kuandaa kumbi zinzofunikwa kwa kasi hasa mjini sita Oktoba na mjini mnara wa Waarabu .
Comments