Waziri wa vijana na michezo akutana na mashujaa wa timu ya Misri kwa mpira wa mikono kwenye hoteli ya kukaa mjini mkuu wa Tunisia

Kabla ya uzinduzi wa mechi ya fainali inayotarajiwa na kabla ya kurejea kwake kutoka Tunisia leo kwa Kairo ,Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alikutana na wachezaji wa timu ya Misri kwa mpira wa mikono kwa wanaume ,kifaa cha kiufundi ,kiidara , na kiutibabu .katika makao ya hoteli ya kukaa mjini  mkuu wa Tunisia ,kwa kuhudhuria Mhandisi Hesham Nasr mwenyekiti wa shirkisho la kimisri kwa mpira wa mikono .



Wakati wa mkutano waziri wa vijana na michezo alihamasisha  wachezaji wa timu ya kitaifa ,kwa fainali ya kiafrika inayotarajiwa  kesho siku ya jumapili mbele ya mwenzake wa timu ya kitunisia ,akiomba kufanya juhudi zaidi ili kuhakiksha pande mbili  nazo ni lakabu ya michuano ya kiafrika na kufikia Olimpiki ya Tokyo Msimu  wa joto ujao .


Sobhy alisifu utendaji wa wachezaji katika mechi kabla ya fainali iliyomaliza kwa ushindi wa timu ya Misri dhidi ya timu ya Algeria kwa 30 mbele 27 , ambapo Sobhy aliizingatia ushindi muhimu na kuhimizi kubwa kwa kutawaza kwa michuano na kuishinda timu  yenye nguvu ya Tunisia ,itakayocheza juu ya aradhi yake na kati ya watu wake .


mwishoni mwa mzungumzo yake Sobhy alitoa shukrani kwa mashujaa wa timu ya Misri kwa utendaji walioutoa katika michuano ,akiashiria kuwa watu wa Misri watakuwa wakiwangoja katika uwanja wa ndege wa Kairo mkirudi kwa kombe la Michuano.


Imetajwa kuwa waziri wa vijana na michezo jana kukutana na timu ya kimisri kutoka nyanja za dura ya uwanja wa mechi ambapo ilimaliza kwa ushindi wa timu yetu ya kitaifa dhidi ya mwenzake wa Algeria kwa 30/27.


Pia timu ya Tunisia kwa mpira wa mikono ilifikia fainali ya michuano ya kombe la nchi za kiafrika inayofanyawa juu ya ardhi yake na inayofikisha olimpiki ya Tokyo ili kupambana na  mafarao ili kuainisha  lakabu kesho ,jumapili na hii  ni baada ya ushindi dhidi ya Angola kwa 23/39 katika nusu fainali.

Comments