Timu ya kitaifa kwa mpira wa mikono inashinda medali ya kidhahabu ya kombe la mataifa ya Kiafrika....na inafikia Olimpiki ya Tokyo
- 2020-01-27 12:53:16
Timu ya kitaifa ya kwanza ya wanaume kwa mpira wa mikono, chini ya uongozi wa Mhispania ( Roberto Garcia) mkurugenzi wa kiufundi imeshinda michuano ya kombe la mataifa ya Kiafrika ya nambari 24, baada ya kuishinda timu ya kitaifa ya Tunisia kwa ( 27/22) kwenye uwanja wa Tunisia na wakati wa kuwepo kwa mashabiki wake.
Wachezaji wa timu ya kitaifa wameweza kuweka udhibiti wao katika mechi tangu mwanzo wake, ambapo kipindi cha kwanza kimemaliza kwa masilahi ya Mafarao kwa (15/11).
Kwa tija hiyo, timu ya kitaifa ya Misri inafikia Olimpiki ya Tokyo 2020, huku timu ya kitaifa ya Tunisia inacheza fainali zaidi kwa ajili ya kucheza katika kikao cha Olimpiki.
Orodha ya timu ya kitaifa inajumuisha wachezaji 21 ambao ni : Karem Hendawy, Mohamed Esam Altayar, Mohamed Aly, Ibrahim Almasri, Mohamed Mamdouh Hashem, Wesam Samy, khaled Walid, Ahmed Adel, Mohamed Sanad, Akram Youssry, Ahmed Alahmar, yehia Khaled, Mohsen Ramadan, Ahmed Khairi, Seif Alderaa, Ahmed Hesham, Yehia Alderaa, Ali Zein, Hassan Kadah, Omar Bakar na Ahmed Moamen.
Comments