Timu ya kitaifa ya Misri kwa mpira wa kikapu inashinda timu ya kitaifa ya Morocco katika michuano ya Kiafrika ya Olimpiki ya walemavu
- 2020-01-28 11:12:32
Timu ya kitaifa ya Misri kwa wanaume kwa mpira wa kikapu imeshinda mwenzake timu ya kitaifa ya Morocco kwa 15 - 8 katika mechi ya pili mnamo siku ya pili kutoka mashindano ya mpira wa kikapu katika michuano ya Kiafrika ya Olimpiki ya walemavu.
Timu tano za kitaifa zinashindana katika mpira wa kikapu ambazo ni Misri, Morocco, Algeria, Tunisia na Burundi.
Mechi inachezwa kwa vipindi vinne kwa dakika 8 kwa kila kipindi, na kila timu inacheza kwa wachezaji watano.
Timu ya kitaifa ya Misri inawakilishwa na : Kareem Mohamed, Hosam Aldin Darwish, Ayman Yasser, Fares Mohamed, Helal Ahmed, Mohamed Sherif, Omar Ehab, Omar Emad, Mohamed Basem na Ali Mohamed.
Huku timu ya kitaifa ya Morocco inawakilishwa na : Alhaaj Khalifa Mohamed, Alghareeb Osman, Ben Tarek Mostafa, Ogwen Abd Alghafar, Blorwee Mohamed, Alkhentar Amny Bsalam na Ayub Kado Ayub.
Tija za vipindi zimekuja kama zifuatazo :
- Kipindi cha kwanza : 9 - 2 kwa Misri.
- kipindi cha pili : 11 - 4 kwa Misri.
- kipindi cha tatu : 15 - 6 kwa Misri.
- kipindi cha nne : 15 - 8 kwa Misri.
Comments