Waziri wa michezo anawapongeza mabingwa wa duru ya kimataifa kwa karate na anazisifu Tija bora hizi

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo anapongeza mabingwa wa mchezo wa karate ya kimisri walioshiriki katika ubingwa wa duru ya kimataifa (Al_brimiling)2020 inayofanyika katika mji mkuu wa Ufaransa Paris inayofikisha Olimpiki Tokyo na hivyo baada ya ushindi wao kwa medali nne tofauti kama:dhahabu moja,fedha moja na shaba mbili ambapo bingwa mmisri Mohamed Ramadan alishinda medali ya dhahabu katika shindano la duru ya kimataifa kwa uzani 84kg baada ya ushindi wake kwa bingwa wa Japan Aragawitga,pia bingwa Ferial Ashraf alishinda medali ya fedha,na Radwa El-said alishinda medali ya shaba kwa uzani 50kg baada ya ushindi wake kwa bingwa wa Iran 4/1,na bingwa Sohaila Aboismail alishinda medali ya shaba kwa uzani 68kg baada ya Ushindi wake kwa mshindani wake ya Japan.


Dokta Sobhy alizisifu juhudi zilizotolewa na wachezaji kwa kuhakikisha Tija bora hizi zinazoongezeka kwa rekodi ya michezo ya kimisri.


pia Sobhy alisisitiza kwamba  anafuata ushiriki wa mabingwa wamisri katika michuano tofauti ya ulimwengu na kibara na inayofikisha Olimpiki Tokyo na hivyo katika sehemu ya kutoa umuhimu na wizara ya michezo ili kuboresha kiwango cha wachezaji na kuunga mkono ili kuhakikisha mafanikio mema zaidi .

Comments