Waziri wa vijana na michezo apokea timu ya Misri ya mpira wa mikono baada ya ushindi wake katika michuano ya nchi za kiafrika na kufikia kwake kombe la dunia ya Tokyo

Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alipokea timu ya kwanza ya kitaifa kwa mpira wa mikono kwa wanaume baada ya ushindi timu ya Tunisia katika uwanja wa Radas kwa (23_27) katika fainali ya michuano ya kombe la nchi za kiafrika na kufikia kwake olimpiki ya Tokyo 2020.


Sobhy alielezea furaha yake kwa mafanikio yaliyohakikishwa kwa timu ,kiasi kwamba timu ya kimisri ilitawazwa kwa juhudi yake kwa ushindi kwa michuano ya kiafrika baada ya juhudi kubwa ,na maandalizi marefu kwa timu na wachezaji linalosababisha kushinda michuano na lakabu mbalimbali za kibara na kitaifa .


Inazingatia ni mara ya kwanza ambyo timu ya Mafarao inahakikisha ushindi dhidi ya timu ya Tunisia nchini mwake  ,kiasi kwamba wachezaji wa timu ya kitaifa walifainkia kuongoza mechi tangu mwanzoni ,kiasi kwamba mechi ya kwanza ilimaliza kwa kusoglea Mafarao kwa (11_15).


Kwa hivyo timu ya kitaifa ilifikia olimpiki ya Tokyo 2020,ili kujumuisha pamoja na ujumbe wa kimisri utakaoshiriki katika olimpiki .

Comments